Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
haya meacha asijejitoa roho nkawa mtuhumiwa no 1.
Last edited by a moderator:
Kikikikikkkkkkkk unataka vunja watu mbavu weweKiaje mkuu? Dah kwanza jina lako linanchekeshaga sana
Huwezi jua labda ameshalijenga taifa, au mjasiriamali kazi zinaendelea kama kawaida, au kitega uchumi kinafanya kazi yeye anakinga kila mwisho wa mwezi.
Au hapo mitandaoni labda ndo anapopata riziki,
Ngoja niishie hapa isije kuwa nafuatilia maisha ya watu kila mmoja anajua namna anavyojitafutia riziki muhimu hakuja kukubugudhi pesa ya mboga, au tatizo lolote lile basi mwache maisha yake yaendelee
Kwani mume wangu unakosa nini kutoka kwangu just tell me jamani kuliko kunifanyia hivi!
ha ha haaaa itabidi asuke mabutu ili angalau kupitisha hewa... ukiuliza nini.. maagizo ya mpenzi uchwara
Kama rangi ya ngozi yangu?
Just like the old days
He's my baby na nimeondoka kwetu kisa yeye so why should I push him jamani.Unajua toka jana ni mda mrefu sana please!
Nile kwa amani
hoya wewe Babu WEtu elewa maisha ni GEmu na kila mtu anacheza anavyojua yeyeKweli taifa litaweza kuendelea kuwa na watu kama nyinyi?Machozi yananitoka kuona watz wanavyo kuwa mbuguwani,mnajaza vyoo tu hasara tupu
Habari wadau!
Nina mpenzi wangu wa kike ambaye sijaonana nae yapata miezi sita sasa.
Hii leo nakutana naye baada ya kuwa mvumilivu kwa kipindi kirefu.
Sasa wadau nisaidieni, ule mzigo nitajuaje kama ulikuwa haufunuliwi na wajanja wa mjini?
Kwa upande wangu condition niliyompa ni kutokuwa ananyoa ile mambo mara kwa mara, na huwa nataka akae akinitumia picha ili nione kitu kipo katika hali gani.
Sina mengi ndugu zangu maana nina furaha sana leo, lakin msisahau kunambia kitu nitaigunduaje kama ilikuwa haitafunwi!
Siku njema wapendwa!!
Acha hizo Valentina! Funguka basi kama haijatafunwa mda mrefu inakuaje
Hakuna ninachokosa kwako mpnz wangu
Just like the old days