Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Status
Not open for further replies.
we wawapi?,wenzako wana google t..i..go , vo..o..od..a ni ya mwenye nyumbaa
 
Munkari naomba usimpe presha mke wangu Honey Faith.

Sweetheart nakuletea zawadi niliyokwambia sawa!
 
Last edited by a moderator:
Hahah,hyo fuga msitu balaa,..mhurumie mwenzako jotoo
 
Wewe ulikuwa unanyoa pia na kumtumia picha...?!
 
Wewe una akili kweli?watu wako busy wanajenga taifa wewe upo kwenye mitandao unaleta uzi wa mapenzi hasara kubwa kwa taifa!

Sasa we mbona uko huku huku kwenye mapenzi? Umeitwa? Watu wengine bwana. Alaaaah!!
 
ha ha a haha haha hahha yeleuwiiii .... kuibiwa kupo pale pale usijipe presha sana we nenda kale.. akiwa kwako wa wkwako akitoka tunajidakia juu kawa juu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom