Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

mi nilijua ukimwi kumbe kifafa pumbavu sana wewe. kwani shida hipo wapi
 
Shida amebaki mama yake tu mzee alishafariki,
Sasa familia imebaki imegawanyika upande wa kikeni na kiumeni hawaelewani.
Wanaume wanataka niwe na huyu dogo upande wa kikeni unataka dogo aondoke kwangu kwa gharama yoyote ile..
Na hawapo tayari kutoa ushirikiano wowote zaidi ya kudai wapewe mali muda huu huu.

Wanaume wanabaki kimya, hawana sauti maana kuna dada yao ameolewa na mtajiri mmoja sasa yeye na mama yake ndio wamechukua jamvi lote wao ndio wasemaji wakuu.

Dogo nae hataki kukaa na ndugu zake wa kike ni mifarakano isiyoisha,,
Anadai mama yake anamshauri aachane na mimi asubiri wanaume wenye pesa na magari
Eti mbona ni wengi tu?

Dogo nae ndio anazidi kuwakera Dadaake na Mamaake.

Nadhani kwa intro hiyo tu unaweza kuiona picha ilivyo ya kihindi halafu tafsiri ya Kitailand.

Sasa hapo hao ambao ndio dada na mama mimi nakaaje nao kujadili issue kama hiyo,,?
Japo kupitia kaka yake kuna issue niliisikia maana walikuwa wanaongea kwenye simu siku moja.
Nikasikia Bro mtu anamwambia mdogo wake,,
Daah na wewe uneandamwa na majanga tangu mdogo,
Kidogo tena nikasikia huyu anauliza kama ni weli mama yao aliwahi kumzika mbuzi mzima hapo kwao.

Baadae nilifanya kama kumuuliza kuwa ilikuwaje mama yao akazika mbuzi mzima kwenye mji?
Maana mimi najua hicho kitendo kinaashiria nini Dogo akaanza kuchengesha hataki kuweka wazi juu ya hiyo issue anadai Bro wake hakumuelezea kiundani kabisa.

Unaona hilo picha ni kama nazungukwa tu halafu nipo nimechill?
Na nikiamua kumbakiza huyu dogo kwenye maisha yangu madhara yatakayojitokeza ni makubwa sana.

Na mpaka sasa tangu nilipoonana na mama mkwe niliweza kubaini kitu kikubwa tu ni kwanini ananipiga vita.
Huyu mother ndie alietakiwa kufa sio yule mzee, huyu mother ndie alimla kichwa yule mzee,,
Kwanini?
Kuna ushauri huwa anampa binti yake wa kunikalisha milele nisiweze kuwa na say yeye anapenda sana pesa na huwatumia sana mabinti zake kama maagents wake kukamilisha mahitaji yake.
Maanake ukimuolea huyu mother uwe umejipanga na uweze kumsoma mapema maana ana nguvu kubwa na cheo kwenye dunia ya siri.
Sasa nikisema nibaki na huyu binti tafsiri ni kwamba huyu mother anatakiwa apotee mazima,yaani hiyo ni given no way out
Sasa utaishije na binti ambae mama yake ni wewe ulimuondoa?
Na kabinti ndio hakaelewi kila nikikaambia tuachane ili kunusuru matatizo hakaelewi, nakaambia nitaikaanga familia yenu, hakaelewi.

Hapo ungekuwa wewe unafanyaje mkuu?.
Mara mia mziki wa singo maza ila sio hilo dundo uliloingia mzee.

Enhee tupe updates, imekuaje mkuu??
 
daaah Sonko Bibo hii issue yako ni balaa inatia huruma na simanzi
vipi lakini ulifikia wapi mkuu?
 
Uliwezaje kutoka salama..umesema hadi mimba ulimbebesha...au ulitumia artificial semination
 
daaah Sonko Bibo hii issue yako ni balaa inatia huruma na simanzi
vipi lakini ulifikia wapi mkuu?
Mkuu, bado nipo nasonga nae japo ni ile tu naiangalia tu kamba inavyokwenda kukatika..
Maana matumaini ya hapo mbeleni siyaoni kabisa.
Pili huyu dogo keshaanza kuonyesha rangi zake kabisa..

Nimeelewa sasa maana halisi ya ule msemo,,
Everyone around will show youtheir true colours, just give them time.
 
Mbona kifafa ni kawaida sana na wengi wanaishi maisha yao kawaida tuu mpaka wanazeeka wakitumia dawa (anticonvulsants) na sio lazima akizaa watoto watarithi, kama unampenda fanya research acha uwoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom