Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Hongera zao mwee. Birthday na engagement Dubai, harusi utakuta Paris, honey moon sijui kwenye sayari gani. Daah hadi mahousegal wanaenda nao vacation. Pesa... Heshima yako nakupa.
 
kuzini maana yake.....wanandoa kwenda nje ya ndoa....na kama haujaolewa....wew ambae haujaolewa ukashiriki tendo la ndoa na aliyeoa umezini nae........

kuzini ni kutembea na mtu msiyeoana naye, simple
 
kwikwi sio wazee wote wanatumia Viagra kama ilivyo siyo vijana wote hawatumii Viagra! Mkuu mpe Hongera mzee Mengi kwa kubeba kifaa!

Wazee wa kihaya wanatafuna kahawa....zile chungu nasikia zinaongeza nguvu za kiume hatariiii
 
Hapo chacha...unakoleza ndimu pilipili...makorokocho yote....ss vijana stress..zee km hili ukilipa vitu adimu akapiga kabao kamoja si anakuona eehhh

Hahhaha hilo nalo neno! Tena kwa watu aged, kamoja tu wako hoiii
 
Huyu Mzee ni muathirika wa ndoa, kama sasa ana furaha, basi angalau apumzike. Mkewe wa kwanza na ndiye aliyetajirika naye ni mtata sana, kwake ugomvi ni jambo dogo sana, ukipita mbele ya nyumba yake utamsikia tu anafoka na yule mtunza bustani yake ya maua.

Huyu mama ni kiboko ya huyu Mzee, kwani na kiburi chake chote kwa yule mama huwa ananywea kabisa, na kuna wakati waligombana Mzee akashtukia bunduki ya mama ikiwa chini ya mtoto wa kitanda, ndipo Mzee akatoroka nyumbani na kuhamia Haidery Plazza.

Baada ya muda fulani wa upweke akahalalisha mapenzi yake ya muda mrefu na Madam Ritha, kwani walianzana tangu akiwa mwajiriwa wa IPP na ndio sababu ya agizo la mke wa kwanza la kutaka atimuliwe kazini.

Baada ya kuhalalisha Mzee akanunua ile nyumba ya Kinondoni na kuifanyia ukarabati mkubwa ili Mzee aishi pale na Madam. Nakumbuka Madam ndio alikuwa msimamizi wa ukarabati ule, na ukarabati ukafanikiwa na maisha yakaanza.
Lakini ghafla pepo ikaingia balaa, Madam akabainika kuwa na vimchepuko ambavyo ni vijana wadogo, Mzee akaamua kunawa mikono na kujiweka pembeni, na miradi aliyomuanzishia ikawa ndio zawadi yake.

Mzee akasogea kwa binti mmoja Mdogo sana wa Kichagga anaitwa Rose, alikuwa mwajiriwa wa Ofisi ya Msajili wa Makampuni, iliyopo kwenye jengo la Ushirika. Naye akamuoa, lakini ndoa yao haikudumu kwani huyu binti hakuweza kuachana na aliyekuwa mpenzi wake akawa akiendelea kisiri na kumsaidia sana kiuchumi, Mzee alikerwa na hilo akamuacha.

Na K Lyyin naye kapitia njia ngumu kwenye mapenzi, kila aliyekuwa naye hakuona kama anafaa kuolewa, akaoa mwanamke mwingine, nakumbuka alipojiingiza tu kwenye muziki aliingia mapenzini na Mzee (wakati huo akiwa na Madam) lakini baada ya muda waliachana.

Kama akina Kinje na yule bilionea wa mali za famili Mhe. Mohammed D, pamoja na yule Mzungu aliyemtorosha Bongo wakati akimgombania na Kinje.

Nadhani kwa njia hizo, wote sasa wanaweza kuamua kutulia baada ya kuchoshwa na sarakasi za mapenzi na kuchukulia kwamba hii ni nafasi yao ya mwisho kujisahihisha. Nawatakia kila la kheri.

Ova
 
Back
Top Bottom