ShingapiiiiKwa mahitaji ya kutengenezewa kalenda ya kupata uroda..
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30
Ambayo utabandila ukutani
Fafanua mkuu tutape kitu miaka 19 una experience kubwa.Najua nachosema, nimekuja kujua ndoa ni ngumu na haifai, ni utapeli tu miaka 19 baada ya kuoa!
5k tu mkuuuSh
Shingapiiii
SIku zote mapenzi ni matamu sana kabla hamjashirikisha makaratasi ya kisheria.Uzuri uko muda mrefu humu so usiseme hukuambiwa ! πππ
Wala uaije ukatuomba ushauri π€£ ukishaoigwa na kitu kizito chenye ncha kali
...na kuwekana mkuu, usisahau hilo kabisaπHongera sana mkuu, kila laheri ndoa ikawe yenye baraka sana, itawaliwe na amani......
Yan kwel kabisa. Maana kila mtu anakua anakua anacheza kwa step na kuwa extra careful asimpoteze mwenzie. Ila ukishajihakikishia permanance kwenye affair, hapo kizai zai kinaanzaSIku zote mapenzi ni matamu sana kabla hamjashirikisha makaratasi ya kisheria.
Kila la kheri kwake...
Mahi yako lini? πΉHongera sana mkuu.
Mwenyezi Mungu awatangulie katika safari mpya mnayokwenda kuianza.
Umenifanya nicheke kwa nguvuπΉπΉπΉMahi yako lini? πΉ
Ahadi ni deni nimekukuta kwenye uzi wake uliahidi, tunaomba mchango πΉπΉOya mwanetu huyo juddy apewe maua yake na ukitaka kumuoa basi kuna mchango wako kwangu mzee.
Mie kama mwenyekiti wa jumuia ya WANAUME jamiiforum nitaongea na katibu, muweka hazina na wanachama wote kwa ujumla tumjadili juddy na adhabu gani upewe ukimbadilika baada ya kuoiga pesa.
Usiogope bhana olewa si utaachika shem akiwa haeleweki πΉπΉUmenifanya nicheke kwa nguvuπΉπΉπΉ
Mahi wangu mimi ninaogopa NDOAπΉ
Team Kataa ndoa wataku dis... achana nao usiwasikilize!!Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
πΉπΉπΉUsiogope bhana olewa si utaachika shem akiwa haeleweki πΉπΉ