Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

JK anaweza kuwa anaikwepa ripoti hiyo makusudi. Kama mnavyojua bunge linaanza June 10, kwa hiyo inaweza kuwasha moto mkubwa bungeni maana mambo ya fisadi Mkapa na Yona kuhusiana na kuifisadi Kiwira Coal Mining na kuifanya ya kwao pia yamo kwenye ripoti hiyo.

Hii kamati yao haikuwa ya Bunge na i doubt itakuwa na uwezo wowote wa kisheria kwa sababu hata sijui kama waliwahoji mafisadi!

Ni ripoti zipi hizo zimeshawahi kufanyiwa kazi? Ama sasa tuamini tu?

Si ziko ripoti toka zama za Mkapa na bado zimekaliwa?

Tumuamini nani? Mh Rais?

Zitto hakujua hilo?
 
November 13th, 2007. Rais Kikwete alitangaza kuundwa kwa kamati ya madini. Kamati ambayo ilipewa miezi mitatu kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika sekta ya madini.

Hii thread ninaanzisha itakuwa ina-count down weeks kutokea ya kumi na mbili hadi ya mwisho ili kujua maendeleo ya kamati hiyo na kupata mambo ya ndani kuhusu kinachoendelea. Kama report za ile kamati ya bunge ya Richmonduli zinavyoonyesha, hizi kamati mbili zimeundwa kula pesa tu na kupoteza muda.

Hata hivyo kwa vile Wabunge Zitto Kabwe na Mwakyembe wameomba wapewe muda na imani ya wananchi "kwa maslahi ya taifa", basi mimi binafsi nawapa muda ili ijulikane kama kweli hii kamati iliyoundwa italeta chochote tofauti na yale yaliyopatikana toka katika kamati kama sita hivi zilizoundwa na kutumia mabilioni kisha kutoa report na mapendekezo ambayo yamewekwa kapuni.
  • 1. Hadi leo tarehe 4 dec, wiki tatu zimepita tangu kuundwa kwa kamati ya madini ya raisi.......

    week ya 12 - checked
    week ya 11 - checked
    week ya 10 - checked
    week ya 09 - ................

Mwafrika wa Kike hii ni comment yako..
Swali...Umeshabadilisha mawazo kwenye highlights?
(msisitizo kwenye nyekundu)

JF BURDAANI KWELI KWELI!
 
No sijabadili mwelekeo mkuu!

Nimetoa muda wa siku 30 kuanzia May 7th!

Nashukuru..
Ila naomba unijibu swali moja.
I can acknowledge that you seem to have some sort of what i can call a "Tremendous faith" this time around in regard to what is going to be done!

Ila bado hujanieleza ni kivipi unaona kuna matumaini this time around?!

Kwasababu sijui kama una take time kuipitia hii thread yote na kuona postings zote ili pia uangalie upande mwingine wa shilingi!
 
To be honest with you, nimeamua tu kutoa breathing room ili kujipanga upya. Sina mategemeo zaidi ya ndoto za kawaida za kuona the best thing ikitokea Tanzania.

Kumbuka huu ni msimamo wangu binafsi. Nimekuwa mmoja wa wapinzani wa nguvu wa Kikwete kwa muda mrefu hapa JF. Nimejaribu kutoa muda ili nione point ya wale wanaomuunga mkono. Kumbuka nimesema kuwa sitampondea Kikwete kwa siku 30 (sikusema kuwa nitakuwa mpiga debe wake).

Neah, nimeamua tu kuona kingine ambacho Kikwete anaweza kufanya kwa nchi yetu. Hata hivyo naomba nieleweke kuwa ingawa mimi ni mpinzani mkubwa wa ccm, nitamuunga mkono Kikwete hapa JK kila mara atakapofanya jambo muhimu kwa nchi yetu. So far amekuwa akinidisappoint kila mara ila nimetoa muda kidogo nijifunze saiki yake.
 
Je unaamini mafisadi wakamatwe ama wasikamatwe?
 
Sidhani kama kuna sehemu yoyote nimesema otherwise kwenye hili. Mimi niliyemtenga hapa ni Kikwete tu. Waliosalia wote huko CCM na serikalini hawapati bureki yoyote toka kwangu. Ukisoma vizuri nilichoandika kwenye ile thread ya kumpa Kikwete bureki nilisema hili wazi.

Najaribu kumtenga Kikwete toka kwa mafisadi. Najaribu kufanya walichofanya NY na Giuliani kuwafaiti Mafia wa NY. Giuliani alikuwa mmoja wao lakini alivyopata nafasi ya kuwalima mafia alikuwa anafanya hivyo big tyme.

Najaribu kuona kama Kikwete anaweza kujitenga kwa mafisadi na akawashughulikia big tyme. Ndani ya mwezi mmoja wa intense study kuhusu saiki ya Kikwete, nitakuwa nimejenga basis nzuri ya madai yangu kwake.

Kama Swali ni kuwa je mafisadi wakamatwe, jibu ni YES. Kama ni kuwa Kikwete akamatwe, jibu ni NO for now.
 
Nakwambia kweli Mwafrika wa Kike..Kikwete asipofanya something tangible..Then atakwenda down na wengi!

MARK MA WORDS!
 
Sijakuelewa vizuri hapo (red)...Kikwete ni Rais na kuna vyombo vya dola ambavyo vinafanya kazi kama ametokea kuwa ana kesi yakujibu then ni kazi DPP kupeleka mahakamani...sasa sijui unataka Kikwete atoe amri Chenge & co wawekeni ndani?...mimi mwenyewe ningefurahi lakini tatizo nchi yetu ni ya demokarasi....i sometimes wish ingekuwa inataliwa kijeshi
 
Yes Kikwete anatakiwa kutoa amri ili kina CHenge wapelekwe mahakamani. Kama waendesha mashitaka wameshindwa, Kikwete anaweza kuwatosa na kuteua wengine watakaofanya hiyo kazi. The bucks zinasimama kwa Kikwete kwenye hili.
 
Sijakuelewa vizuri hapo (red)...Kikwete ni Rais na kuna vyombo vya dola ambavyo vinafanya kazi kama ametokea kuwa ana kesi yakujibu then ni kazi DPP kupeleka mahakamani...sasa sijui unataka Kikwete atoe amri Chenge & co wawekeni ndani?...mimi mwenyewe ningefurahi lakini tatizo nchi yetu ni ya demokarasi....i sometimes wish ingekuwa inataliwa kijeshi

Demokrasia ya watuhumiwa kutohojiwa?

Na mikamati tata every single day?

Eti DPP!

Mi naona umeuchapa usingizi kama kawa!

Yani asiamuru wakamatwe..Halafu kuwarudisha kina Chenge madarakani hadi vijisentis kumkumba!

I am yet to see how decisive our president is!

We hujui mamlaka aliyo nayo Rais ni makubwa kiasi cha kwamba order ya kuwashughulikia mafisadi inachukuliwa kuwa kama sheria?

Ameonyesha kuwa yuko aware na ufisadi?
Jibu ni big NO!

Niko hapa mpaka kieleweke na tukutane kwenye kampeni 12010! Damn it!
 
Demokrasia ya watuhumiwa kutohojiwa?

Hiyo ni kazi ya vyombo vya dola kuhoji watuhumiwa na uelewe kuwa wanafanya
hivyo

Na mikamati tata every single day?

Nakubaliana na hoja hiyo.....hakuna sababu ya hii mikamati ni ufujaji wa fedha zetu

Ungependa na mimi vilevile ningepaenda sheria mikononi lakini karne hii mabo hayo haiwezekani wanalindwa na amnesty law.

Ndugu sijalala lakini sometimes unaangalia reality ambayo inazibwa na hizi bad news

I am yet to see how decisive our president is!

Tumpe muda na tujigange na kampeni 2010...Tuangalie sio rahisi kama vile tunavyotaka maanake inabidi a balance na CCM ili wamsitupe national election unless he is strong enough kungombania next election independent.

We hujui mamlaka aliyo nayo Rais ni makubwa kiasi cha kwamba order ya kuwashughulikia mafisadi inachukuliwa kuwa kama sheria?

Niko hapa mpaka kieleweke na tukutane kwenye kampeni 12010! Damn it!

2010 wote tunasubiri Mungu atupe uhai tu
 
Hivi hii report ilishakabidhiwa au bado, kama imeshakabidhiwa mbona hatuambiwi matokeo yake?
 
I dont know!
Zitto anatuchanganya tu!
Tutaujua ukweli tu hata iwe vipi!
Tutawajua wazalendo wa kweli na wale feki!
 
Kwa kweli hiyo report naona ina utata. kama itatoka kwa wananchi kama ilivyoandikwa nitashangaa sana, kwa maana naona kama kuna usanii fulani unachezwa. kwa nini report ipewe miezi 3 waongeze miezi 3 bado haijawasilishwa kwa wananchi? Hivi kama muugwana akiamua kuinyamazia kama report nyingine zilizowahi kutolea.
 
Zitto ndio atuambie wamekubaliana nini na Kikwete maana maluwe luwe si kidogo!
 
2010 wote tunasubiri Mungu atupe uhai tu
Vyombo vya dola viwachunguze wale wanao vihodhi?
The answer is next to impossible!
Kamati teule ya bunge ndiyo mbwa mwenye meno!
Hizi nyingine kama hii ya madini na zile zilizopita inaonekana ni mbwa vibogoyo!
 
Siku moja imepita na hakuna hata minong'ono kuhusu lini wanategemea kuitoa ripoti hiyo rasmi. Ikichelewa zaidi itabidi waulizwe, je ni sababu zipi zilizofanya mshindwe kuitoa ripoti katika kipindi cha miezi mitatu mliyopewa kukamilisha hiyo? Kama mlijua kwamba miezi mitatu isingetosha kukamilisha ripoti hiyo kwa nini hamkumuomba Muungwana ili awaongezee muda wa kutimiza jukumu alilowakabidhi? Hizi tume ni usanii mtupu. Ripoti ya ukaguzi wa BoT Muungwana kaamua kuificha na wabunge wanapigwa dana dana kuhusiana na lini watakabidhiwa rasmi ripoti hiyo. Ripoti ya richmonduli wabunge pia wanapigwa dana dana na mawaziri kuwekewa mkwara mzito kuhusu kuisupport siri kali kwenye sakata la richmonduli maana hawa mawaziri hawana uwezo wa kufikiri wakiambiwa wasupport govt bila hata kujua wanacho support wao wamo tu! Kweli tuko katika ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ya kuiangamiza Tanzania!

Maneno mazito haya!
 
Je uzuri wa Kikwete anaouona Zitto ulianzia kabla ya Kamati ya madini kuundwa ama ni baada ya uundwaji wa kamati hiyo?
Na ni nini hasa kimetokea hapo katikati kilichoweza kubadilisha mawazo ya kijana wetu?!
 
Back
Top Bottom