Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
Hapo inabidi awe specific na hatuhitaji politics hapo!
Naomba nieleweshwe!
Na ndio maana nikasema kuwa kauli ni kanganyifu!
In several occasions, nimemsikia Zitto akisema kuwa wao walishamaliza kazi yao na kilichobakia ilikuwa ni kwa Kikwete kutoa report au kusema atafanya nini kwenye kilichopendekezwa.
Zaidi ya hapo, nitasubiria Zitto mwenyewe aeleze kama alimaanisha kuwa hii report haijakabidhiwa kwa Kikwete.