Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Si nimeshasema niliuliza in general?
It was not a personal question!
Unless you now own JF and so you can just get rid of me!

Acha kuwa paranoid mkuu... kitchen hii ni very hot so get prepared before you get in. Nani anataka kukutoa hapa? Unapata changamoto kwenye kila unachoandika the JF way.... nyani anakomwa giledi mchana kweupeeeeee
 
Nime react hivyo pale unapokuwa RUDE na kuleta madai eti hakuna wa kunifanyia kazi hapa jf!
Sasa kauli gani hizo hapa kwenye hoja hujibiwa kwa hoja?
 
Bado nasisitiza kuwa hakuna mtu wa kukufanyia research hapa. Ukitaka data unazitafuta au unaomba msaada kabla ya kutoa conclusion halafu ndio unaomba data za kuback up madai yako.
 
Sasa mbona unachukia kama vile ni wewe peke yako uliyeulizwa swali?
Ama na wewe unaongea on behalf of the rest of JF members?
 
Acha kuwa paranoid mkuu... kitchen hii ni very hot so get prepared before you get in. Nani anataka kukutoa hapa? Unapata changamoto kwenye kila unachoandika the JF way.... nyani anakomwa giledi mchana kweupeeeeee

wewe kweli
WT_Series_Air_Cooled_Diesel_Generator_Set.jpg

MTAMBO !! kila unachoandika humu ni nyodo ! kwa nini wewe lakini ? you are more than that bana, jitahidi !
 
Sasa mbona unachukia kama vile ni wewe peke yako uliyeulizwa swali?
Ama na wewe unaongea on behalf of the rest of JF members?

Kama ulitaka nisichangie kwenye hii thread ungesema tu mkuu! Bahati mbaya ni kuwa, ninachangia thread ambayo ninapenda na there is nothing u can do about it!
 
wewe kweli
WT_Series_Air_Cooled_Diesel_Generator_Set.jpg

MTAMBO !! kila unachoandika humu ni nyodo ! kwa nini wewe lakini ? you are more than that bana, jitahidi !

Si nyodo mkuu!

Kila jibu linatolewa accordingly.... Fuatilia majibu yangu kwa FMES na Mtu wa Pwani na wengine na utagundua tofauti kubwa sana kwenye majibu yangu.
 
Kama ulitaka nisichangie kwenye hii thread ungesema tu mkuu! Bahati mbaya ni kuwa, ninachangia thread ambayo ninapenda na there is nothing u can do about it!

angalia quote ya mwisho then ya kwanza ! hata angekwambia isingesaidia simply because unachangia thread UNAYOPENDA na hii unaipenda ndio maana umechangia. Ametumia green power kwa kutokukwambia maana angekwambia ingekuwa useless ! GET IT ?
 
No Mwafrika wa kike!
Haijafikia huko!
Samahani!
 
angalia quote ya mwisho then ya kwanza ! hata angekwambia isingesaidia simply because unachangia thread UNAYOPENDA na hii unaipenda ndio maana umechangia. Ametumia green power kwa kutokukwambia maana angekwambia ingekuwa useless ! GET IT ?

Afadhali umefafanua hivi labda atakuelewa vyema.
 
Huku ripoti za kamati zikiendelea kukaliwa!

Tuna msimamo na nafasi sawa kabisa mkuu ya kudai hii report.... tofauti yangu na wewe ni kuwa, wewe unaidai toka kwa Zitto na mimi naona ni Kikwete ndiye pekee mwenye mamlaka na jukumu la kuitoa.
 
Ok sasa naomba nikuulize swali!
Kikwete keshasema ni lini ataitoa ripoti?
Na je kama taarifa zikiwa zimepindishwa..Zitto atatutonya?
 
Back
Top Bottom