Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
Hayo mambo yananikumbusha nilipokuwa shule...kulikuwa na huyu headmaster,jamaa alikuwa kichwa sana na liberal.....kama mnakumbuka enzi za JKN walimu wakuu wengi walipelekwa kivukoni kupigwa msasa.
Huyu mwalimu alirudi kabadilika sana aka badilisha ratiba, sijui ile siasa ya ujamaa na kujitegemea alielewa vibaya...ikawa muda mwingi wa mchana wanafunzi tunaenda kulima na vipindi darasani vikafupishwa.
Sasa ile sababu ya kwenda kusoma ikabadilishwa kuwa kulima......sasa naona inatokea hapa, baada ya MushiJ na MWK kupotea muda mrefu mmekuja mmeacha kuongelea mada imekuwa mambo ni kubishana.... hii imekuwa nip and tuck.
Salva,balozi (sijui jina lake) na wengineo wamekaa Ghymkana club wanacheka sana......pls tusiwape wazembe faida hapa lengo ni kumkoma nyani gladi......
MKuu kama nimekuelewa vizuri,
Unashauri kuwa tuache kupambana na wana JF na badala yake tupambane na mafisadi wa serikalini? Si ndio?