Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 79
ahaa haa,
Kama wote wenye kutumia obscenity wana mtandao wao basi inaonekana ni mtandao mkubwa sana.....
Kuhani, inabidi unipe mashariti ya kujiunga na mtandao wenu (kama hauna obscenity)....lol wakati nikisubiria Mushi ajibu swali langu la kwa nini alitaka kwenda msituni ili kumwaga damu Tanzania.
Usije kwenye daraja la wasiokuwa JF Mtandao, maana huku pia tunatumia obscenity.
Tofauti, JF Mtandao wanatumia obscenity with impunity sisi tunatumia obscenity with consequences.
Jibu swali: Kwa nini Mushi ajibu kuhusu kwenda msituni wakati kesha tubu?
Hivi unajua Mushi akifungiwa tena utasikitika sana Mwafrika wa Kike. Hivi unajua unarusha low blow ile kinoma?
You know what, you will never know how it feels anyway! Ha ahaaaaaa ha!