Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Mimi nishawaambia waje na PLAN B WAKABISHA!
Tusubiri kesho vichwa vya habari..Hapa hawataki mjadala...Lakini kwasababu viongozi wetu wanasoma na wako hapa..Then kesho waje na something otherwise....Mh mh!
Wautumie huu muda wakina MWK waliosimamisha shilingi kuja na majibu ya maana!
 
1) Naomba uthibitishe kwa kuonyesha hundi za Mushi kwa Kuhani, vinginevyo futa dai la kwamba Mushi ni mteja wangu.

2) Wewe hutakiwi kusema mimi nimekuita msanii kisa " kisa Mwanakijiji na Mimi ...na Bin Maryam tunashabihiana. Unapendezesha usanii ulioufanya uonekane ni mzuri mzuri." Hizo ni mbinu za kina Mukadam!

Usanii uliofanya ni kuchora picha ya undugu hapa wakati wajua fika kuna kejeli na dhihaka na uzandiki na ufidhuli unaendelea kati ya 'ndugu wa JF.'

Niulize mimi nikwambie kwa nini wewe msanii. Usijichoree picha mwenyewe zenye frame za mninga kumbe kwa karibu hazipendezi

Wakati Mushi alipowekwa Lupango, ulisimama kidete na kumtetea. Nikakutumia salamu na kukushukuru kwa kuwa Wakili na Kungwi kwa Mushi.

Kumuita yeye Mteja wako ni fasihi kaka, you took it to be literarily wakati mimi namaanisha umekuwa upande wa kumtetea Mushi bila kujali mapungufu yake!

Same thing I am implying here kuwa umekuwa ukimtetea na si hoja to bali hata kumpa mwongozo.

Is it a sin to use colloquial language and allude your stand as a good lawyer?

Hizo kejeli zenu na ufidhuli ni zenu, mimi sina mbia wala mshiriki. Ukitaka tunywe mvinyo tutakunywa pamoja, sijali wewe ni nani, uwe CCM, Chadema au CUF!

Kama unanituhumu kuwa msanii kwa kuleta masikhara wakati ule wa Ballali kudai nani zaidi kati yako wewe na FMES, basi samahani Kaka kama nilikuudhi na kukuweka katika mpambano na FMES.
 
Mjadala wa kamati ya madini na mustakabali wa TAIFA UNAGOMEWA NA MWK!
Wananchi unafikiri wajinga huh?
 
MWK
turtle-1.jpg

jmushi1
never.jpg
 
Kama unanituhumu kuwa msanii kwa kuleta masikhara wakati ule wa Ballali kudai nani zaidi kati yako wewe na FMES, basi samahani Kaka kama nilikuudhi na kukuweka katika mpambano na FMES.

Again, unaamua mwenyewe kwa nini umeitwa msanii. Unapunguza ukali ama machukizo ya uliyo yafanya kwa ku define mwenyew kosa lako, kwamba umefanya hili au lile.

Acha mimi ninaekushutumu niseme kwa nini wewe ni msanii. Sio kwa kuleta mzaha wa kuwa Don King.

Ni pale uliposema wote hapa ndugu wakati wajua fika watu wana uhasama hapa, kwa kutupiana vijembe, kejeli, dhihaka, na ya nguoni.

Usi define mwenyewe usanii ninaosema umeufanya.

Anyway, Mushi kuwa na upeo mdogo, au insane, hiyo ni sawa na kusema yeye ni pothead? Tofauti ni nini?
 
MWK
turtle-1.jpg

jmushi1
never.jpg

Mwanatanu there is nuttin as such as taking it personal on my side.
I am cool.
Usijaribu kujenga picha kwamba ni mimi na MWK tunabishana hapa.
Kuna wengine wengi tu kwenye mjadala!
Kwahiyo endelea na mjadala badala ya classifiaction za FIGHTS!
 
Again, unaamua mwenyewe kwa nini umeitwa msanii. Unapunguza ukali ama machukizo ya uliyo yafanya kwa ku define mwenyew kosa lako, kwamba umefanya hili au lile.

Acha mimi ninaekushutumu niseme kwa nini wewe ni msanii. Sio kwa kuleta mzaha wa kuwa Don King.

Ni pale uliposema wote hapa ndugu wakati wajua fika watu wana uhasama hapa, kwa kutupiana vijembe, kejeli, dhihaka, na ya nguoni.

Usi define mwenyewe usanii ninaosema umeufanya.

Anyway, Mushi kuwa na upeo mdogo, au insane, hiyo ni sawa na kusema yeye ni pothead? Tofauti ni nini?

Tofauti ni mtizamo na tafsiri ambayo inatafuta bado sababu ya kuingia msituni na kumwaga damu kwa vile kinachotafutwa hakikupatikana.
 
nimeona sehemu Rev ka-apologize juu ya hiyo comment!! tusitumie tactic za MWK....

Kwani mimi sikuapologize?
Hivi unajua ni kuanzia lini huyu mchungaji amekuwa akiniandama?
Fuatilieni threds mtaona!
Kesha get low mara kibao tu!
Atajifanya kukubaliana na wewe kumbe anakuvuta ili ukiingia mkenge akutoe nishai!
Yeye anafikiri sisi ni pumbavu!
Uliniamdama mchungaji hadi kwenye profile yangu!
 
Again, unaamua mwenyewe kwa nini umeitwa msanii. Unapunguza ukali ama machukizo ya uliyo yafanya kwa ku define mwenyew kosa lako, kwamba umefanya hili au lile.

Acha mimi ninaekushutumu niseme kwa nini wewe ni msanii. Sio kwa kuleta mzaha wa kuwa Don King.

Ni pale uliposema wote hapa ndugu wakati wajua fika watu wana uhasama hapa, kwa kutupiana vijembe, kejeli, dhihaka, na ya nguoni.

Usi define mwenyewe usanii ninaosema umeufanya.

Anyway, Mushi kuwa na upeo mdogo, au insane, hiyo ni sawa na kusema yeye ni pothead? Tofauti ni nini?

Ndugu tumbo moja hukejeliana kutupiana vijembe hata dhihaka, je itakuwa JF?

Ya Pothead tulishamalizana nayo. Upeo mdogo ni kushindwa kuelewa nilichokisema kuhusu kung'atuka na kumuachia yeye Usukani wa harakati.

Insane ni ukichaa akifikiri nitajitoa JF kwa ajili yake!

What else do you need?

Sasa nipe basi ile definition ya mimi kuwa Msanii kwa mtazamo wako maana hujaridhika na kujirudi kwangu.

Unadai napunguza makali ya machukizo, nimechukizana na nani? naomba nikumbushe maana labda uzee umenifanya nisahau.
 
nimeona sehemu Rev ka-apologize juu ya hiyo comment!! tusitumie tactic za MWK....

No no no! You're missing the point.

Simrudishi Kishoka kwenye skandali lake la 'pothead.' Namuuliza kama alichokisema mara ya kwanza akakisema amekosea kina tofauti gani na hii ya kusema Mushi ni insane au hana upeo. Unaona pointi yangu?

Halafu, akimaliza kueleza tofauti ya upeo mdogo wa kuelewa, insane, na pothead, aeleze ana maana gani kusema hawezi kukimbia JF kwa sababu ya mtu anaitwa Mushi. Hiyo nayo sio dharau?
 
Oooops nilikuwa nimepitiwa kidogo! kumbe haitatokea..LOL

Talking about "gangin up" lol

Yangu macho tu, nimesubiria mtandao wangu kuniokoa lakini hakuna hata mmoja wakati wengine waki gang up wakati wakilia kuwa kuna wengine wana gang up against them.... lol

I love this!
 
Kwani mimi sikuapologize?
Hivi unajua ni kuanzia lini huyu mchungaji amekuwa akiniandama?
Fuatilieni threds mtaona!
Kesha get low mara kibao tu!
Atajifanya kukubaliana na wewe kumbe anakuvuta ili ukiingia mkenge akutoe nishai!
Yeye anafikiri sisi ni pumbavu!
Uliniamdama mchungaji hadi kwenye profile yangu!

Sijifichi nikiwa napingana na kitu. Huwa mkweli na ninapokosea sibishi hukiri na kuomba samahani.

Kukuandama ni kutokana na kuwa Mzushi na kuropoka bila kujua unachosema, ulipoleta lile la Ballali kuwa Kinyaga kijana ulikosea stepu kubwa sana, na ulikataa mpaka kesho kukiri kuwa ulileta uzushi au kuwaomba Ballali (Familia na marehemu) na Kinyaga msamaha kwa kuwazushia kuwa wanajuana.
 
Again, unaamua mwenyewe kwa nini umeitwa msanii. Unapunguza ukali ama machukizo ya uliyo yafanya kwa ku define mwenyew kosa lako, kwamba umefanya hili au lile.

Acha mimi ninaekushutumu niseme kwa nini wewe ni msanii. Sio kwa kuleta mzaha wa kuwa Don King.

Ni pale uliposema wote hapa ndugu wakati wajua fika watu wana uhasama hapa, kwa kutupiana vijembe, kejeli, dhihaka, na ya nguoni.

Usi define mwenyewe usanii ninaosema umeufanya.

Anyway, Mushi kuwa na upeo mdogo, au insane, hiyo ni sawa na kusema yeye ni pothead? Tofauti ni nini?

Mi nakwambia huyu mtu kweli kama ni mchungaji...BASI TWAFWA!
 
No no no! You're missing the point.

Simrudishi Kishoka kwenye skandali lake la 'pothead.' Namuuliza kama alichokisema mara ya kwanza akakisema amekosea kina tofauti gani na hii ya kusema Mushi ni insane au hana upeo. Unaona pointi yangu?

Mhh kumbe kuna wengine wanaruhusiwa kuuliza ila wengine wakiuliza kupewa maelezo ya kilchosemwa basi inakuwa ni JF Mtandao. Katika hili kuhani una kazi kweli kwenye ulichoandika hapa ukilinganisha na ulichosema kwa yule aliyemuuliza Mushi kutoa maelezo ya kwa nini ametaka watu kwenda msituni ili kumwaga damu Tanzania.

Halafu, akimaliza kueleza tofauti ya upeo mdogo wa kuelewa, insane, na pothead, aeleze ana maana gani kusema hawezi kukimbia JF kwa sababu ya mtu anaitwa Mushi. Hiyo nayo sio dharau?

Natumaini kwa standard yako uliyoiweka mwanzo, inabidi mchungaji asitoe maelezo yoyote ya maswali toka kwa JF mtandao kama wewe.
 
Unadai napunguza makali ya machukizo, nimechukizana na nani? naomba nikumbushe maana labda uzee umenifanya nisahau.

Machukizo maana yake vitu vinavyo chukiza. Sio lazima uwe umechukizana na mtu.

Hilo neno machukizo lipo kwenye Biblia mara kibao.

Sasa machukizo yako ni kusema 'ya pothead tumemalizana nayo' lakini hapo hapo unatetea MWFK anavyo kataa kumalizana na yakwenda msituni.

Kama wewe ni muadilifu, kemea MWFK hapa tukuone kweli kishoka!
 
Sijifichi nikiwa napingana na kitu. Huwa mkweli na ninapokosea sibishi hukiri na kuomba samahani.

Kukuandama ni kutokana na kuwa Mzushi na kuropoka bila kujua unachosema, ulipoleta lile la Ballali kuwa Kinyaga kijana ulikosea stepu kubwa sana, na ulikataa mpaka kesho kukiri kuwa ulileta uzushi au kuwaomba Ballali (Familia na marehemu) na Kinyaga msamaha kwa kuwazushia kuwa wanajuana.

Sidhani kama anakumbuka ule ushauri wote uliompatia kuwa asimhusishe Kinyaga na Ballali. Yeye akipewa ushauri anageuka na kusema kuwa watu wanamwandama.
 
usije tu kununa kwenye Pizza za MKJJ Ohio....suala lako la kwenda msituni halitajibiwa, au ndio watu wapo kwenye summer break kwahiyo wana abuse muda kwa mwendo mdundo?

Unadhani kuwa hata mimi nategemea litajibiwa. Hata Charles Taylor hadi leo hii ameshindwa kabisa kueleza ni kwanini alishiriki kwenye vita ya kumwaga damu za watu huko west Afrika.

Hili ni swali gumu sana na litamfuata Mushi hapa JF mpaka pale atakapolitolea maelezo. SO huo mwendo mdundo ni part of plan kama hukujua.
 
Back
Top Bottom