Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Sijui ndio kuingia msituni huko...mimi yangu macho tu sasa.

LOL!

Hivi unajua posti mbili tatu za Mushi kuhusu msituni sasa hivi umeshazipita kwa kudokeza msituni?

Yani ngoja ndugu yako Mwnjkk aione hii thread! You are in deep doodle!
 
Kuhani ni ile posting yake aliyodai ata resign kama ukiendelea kumtetea mteja wako.

Leo ama siku ile ulipofungua kijina kingine kuombea msamaha Kishoka akawa anakutupa chini ya basi?

Kuna mambo hapa! LOL!
 
umeanza vizuri lakini umemalizia vibaya. kama unahisi sisomi posts za Mushi, kwanini na wewe usifanye hivyo?? maana kama ungekuwa huzisomi, tusingefika hapa tulipo!!

Ungesoma posts za Mushi natumaini matumizi ya neno recycle yangekuzwa zaidi ya ulivyoyatumia. Otherwise, ninaenjoy "gang up" inayoendelea hapa dhidi ya MWK.... lol
 
Originally Posted by Rev. Kishoka
Mshanipachika Ufisadi sasa mnaniita Msanii? kisa yake ni kitu gani? Nimemuibia nani? ni nani ndugu yangu zaidi? kuwa na msimamo mmoja na mtu hakuna maana basi udugu ni zaidi wa yule mnaepingana.

Mfano, Mwafrika wa Kike, Engineer Mohamed, YNIM (na hata Mushi) hatukona kwa jicho moja lile suala la UDSM na Mukandala. Kulikuwa na zaidi ya kurasa 6 za majibishano makali na kuishia kukubaliana kukaa pande mbili tofauti.

Msimamo wangu ulikuwa ni mmoja pamoja na kutukanwa na mteja wako Mushi kuwa mimi ni Fisadi na out of touch kwa kulaani vityendo vya fujo vya wanafunzi.

Kuna mambo ambayo mimi na wewe tumeona kwa jicho moja na mengine kwa macho tofauti, same thing with Mwanakijiji, Kitila, FMES, Nyani, Bin Maryam na Mkandara.

Lakini bottom line ni respect na kuacha upotoshaji.

Mteja wako yeye ni mpotoshaji na hachelewi kuzushia jambo akishindwa kujibu hoja. Wengi wetu tu karibu kung'atuka na kuanza kula pensheni na mrithi wetu ambaye ni mteja wako, hapikiki!

Hivyo basi kuniita msanii kisa Mwanakijiji na Mimi au FMES na Mimi au Bin Maryam na Mimi tunashabihiana hoja si haki ni uzandiki!

Mbona pamoja na kuwa Kungwi na Wakili kwa Mushi sijakuita jina na kukuweka katika "mtandao" maalum?

Hapo juu ana suggest kung'atuka na kukuacha na mteja wako "Asiyepikika!"
 
Mchungaji amesema ata resign jf kama Kuhani akiendelea kumtetea mteja wake!
Mods wanaweza kuogopa kwasababu amewatingishia kiberiti!

I hope you are being sarcastic here because I have not said such a thing!
 
LOL!

Hivi unajua posti mbili tatu za Mushi kuhusu msituni sasa hivi umeshazipita kwa kudokeza msituni?

Yani ngoja ndugu yako Mwnjkk aione hii thread! You are in deep doodle!

Mhh tena umenikumbusha maana nitamtumia message asisome hii thread kabisaaa.
 
LOL!

Hivi unajua posti mbili tatu za Mushi kuhusu msituni sasa hivi umeshazipita kwa kudokeza msituni?

Yani ngoja ndugu yako Mwnjkk aione hii thread! You are in deep doodle!

Mods wamfungulie ile thread ili akaendeleze LIBENEKE!
Hakuna ninachozungumzia hapa ambacho kiko nje ya maana halisi ya thread hii...Kuendeleza mpambano wa HAKI KWA MTANZANIA!
 
Mods wamfungulie ile thread ili akaendeleze LIBENEKE!
Hakuna ninachozungumzia hapa ambacho kiko nje ya maana halisi ya thread hii...Kuendeleza mpambano wa HAKI KWA MTANZANIA!

Muda huu nitasubiria ulete majibu ya kwa nini unataka kuingia msituni ili kumwaga damu ya watanzania kabla ya muda mfupi uliopita kuwatishia mods kuwa utasababisha hii thread ifungwe.

Inaonekana moja ya mipango yako hapa JF ni kusababisha thread kufungwa. Sasa nia yako hapa JF inajulikana taratibu na kwa umakini mkubwa.
 
Basi bana..Mimi ngoja nichukue likizo niwaachie wapiganaji wengine maana MCHUNGAJI AMETISHIA KUJITOA JF kwasababu yangu!
Siwezi kushindana na wewe kwa influence hapa jf!
Kwahiyo kama hamtaki nichangie hapa jf...Then munieleze mimi nitajitoa kabla hamjafanya hivyo kwani sina nia mbaya na jf!

MCHUNGAJI GANI WEWE UNAWATISHA MAMODS WANIFUNGIE LA SIVYO UTAJITOA?

Mushi,

Ukiambiwa wewe mzushi unakataa. ni wapi nilipotoa ultimatum kwa MODS wakufunigi la sivyo nitajiuzulu?

Hivi kweli na ushupavu wako mimi kutamka najianda kung'atuka ikiwa na maana ya kustaafu ni kutishia MODS wakufungie?

Ama kweli weye mpika majungu, kama si mpika majungu, basi una upeo finyu kuelewa mambo unaposoma kitu!
 
Do not fool yourself young gun! Eti nijitoe JF kwa ajili ya Mushi! You must be insane to think I will pull out of the struggle just because there is a fellow called Mushi!
 
kwi kwi kwi kwi,

yaani nimesoma hiyo ya Mushi alivyowatishia MODS kuwa wasipofanya anachotaka yeye basi hii thread itafungwa hadi nikajiuliza maswali mengi sana.

Hivi atafanyaje hivyo? ataingia msituni na kumwaga damu ili JF ifungiwe? na kama ni hivyo, kwa nini anataka kufanya hivyo?
 
Do not fool yourself young gun! Eti nijitoe JF kwa ajili ya Mushi! You must be insane to think I will pull out of the struggle just because there is a fellow called Mushi!

Ungeishia pale ulipodai kung'atuka...Sasa uliendeleza na kusema kumwachia urithi yeye na mteja wake asiyepikika!
Sasa Rev. Kung'atuka ni hiari?
Siasa za Mwalimu tunazijua!
Msamiati wa 1986 HUO UMEPITWA NA WAKATI!
 
Rev, Umeshaniita MVUTA BANGI!
How lower you wanna go?
 
..good idea! sasa acha kuendelea ku-comment juu ya kwenda mstuni!! naona Invisible kamu-infarct Kokolo mapema leo....nashangaa anasubiri nini dhidi yako.

Mkuu YNIM,

Hili swala lisipopata jibu mbona litaulizwa tu hadi lijibiwe na hasa ukichukulia ametoa vitisho vingine kuwa MODS wasipfanya kile anachotaka basi atasababisha thread ifungwe. Mwenzako anataka kwenda msituni ili thread zifungwe hapa JF.
 
Back
Top Bottom