Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

MKuu huu ni mtizamo wako. TOfauti yako na mimi, mie sitakuita the worst person kwa kuhukumu mtizamo wako.

Mimi naamini kuwa Mushi hana nia njema na JF kwa vile analeta habari za uchochezi hapa jamvini kwa nia ya kumwaga damu. Kama huu usipokuwa ufisadi kwa kiwango changu, basi kuna safari ndefu sana ya kupima mafisadi hapa ambao wewe umekuwa unapambana nao kwa muda mrefu.

HABARI ZA uchochezi ni wewe unazileta hapa!
 
Kweli bana...HII NDIO POINTI MKUU!
Watu huenda msituni kwa nia tofauti tu!
Yeye ndiye anayeniweke maneno mdomoni.
Vipi kama ni kwenda kukata kuni?
Ama hata kuchimba mzizi?
MWK tulia bana maana tumekamata pabaya sana!
FMES Naye naona anasubiria kwa hamu uutelezeshe mjadala huu kama mlivyofanikiwa kwenye ule mwingine na kusababisha INVISIBLE AINGILIE NA KUUFUNGA!

NIngetaka huu mjadala uishe ningeacha kuchangia. Hayo ya kusema kuna mtu anataka ifungwe ni kukimbia kivuli chako.

Watu kama wewe ambao wanataka kwenda msituni ili kumwaga damu pale ambacho wanachotaka kwenye mijadala kinapokosekana hawako kwenye line ya wale wanaoweza kumshika yeyote pabaya.

Sana wewe umefanya Mods watumie muda mwingi hapa kuliko kawaida yao na kusoma kila unachoandika ili wafute yale yote unayoweka hapa kwa nia ya kutaka forum ifungiwe au wamiliki wake wawe na matatatizo ya kisheria.

Kuwa wazi zaidi, mawazo ya kwenda msituni sio hoja strong na hayana nafasi kwenye hii karne.
 
Iddi Simba akiwa kama mwenyekiti wa ccm wazazi...Alifanikisha ujambazi wa EPA kwa kutumia influence ya chama.
Zitto akapiga kelele.
Akafukuzwa na ccm.
Kikwete akamkamata AKAWEKA GRUPU MOJA FISADI NAMBA MOJA!
Baada ya hapo...Kimya kama maji ya mtungi huku akiwa na urafiki tata na wakuu wa nchi wenye tuhuma!
Hatujui ni urafiki wa aina gani waliupinga humo kamatini...Lakini kura ya Cheyo ilishindwa kuficha kile zitto alichoweza kuficha mara baada ya yeye ku abstain!
Zitto,Iddi Simba na kikwete wanamtaka Killango ili awasafishe mafisadi na walishamtega zitto ili kuwavuta upinzani!
Bado!
HAKI NI WAKAMATWE MARA MOJA!
 
hapana, ha-comment juu ya kile unachotaka wewe na swali lako halitajibiwa kamwe!!! uzuri ni kwamba ninyi mna/mmemu-underestimate dogo.....Mushi si mjinga!

Hao unaofikiri wako against Mushi sidhani kama una hakika kama wapo. Katika hii thread, wewe, kuhani, Mama, Hollo, na wengine mumenijibu na kutoa hoja zenu dhidi yangu na hoja zangu.

Je ni fair nikiwaita kuwa nyie mmeunda timu against mimi? - jibu ni HAPANA.

Nyie kwa upande wenu, "kila mmoja" kwa wakati wake amekuja kujibu hoja zangu hapa. The same thing should be said kwa wale wanaojaribu kumjibu Mushi. Hakuna timu wala "nyie" kama ulivyoweka hapo juu.

Kuhusu suala la kusema Mushi ni mjinga, hayo ni maandishi yako na si yangu.
Bado namuuliza swali Mushi ajibu ni kwa nini ameitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu Tanzania.

Asante.
 
ningetaka Huu Mjadala Uishe Ningeacha Kuchangia. Hayo Ya Kusema Kuna Mtu Anataka Ifungwe Ni Kukimbia Kivuli Chako.

Watu Kama Wewe Ambao Wanataka Kwenda Msituni Ili Kumwaga Damu Pale Ambacho Wanachotaka Kwenye Mijadala Kinapokosekana Hawako Kwenye Line Ya Wale Wanaoweza Kumshika Yeyote Pabaya.

Sana Wewe Umefanya Mods Watumie Muda Mwingi Hapa Kuliko Kawaida Yao Na Kusoma Kila Unachoandika Ili Wafute Yale Yote Unayoweka Hapa Kwa Nia Ya Kutaka Forum Ifungiwe Au Wamiliki Wake Wawe Na Matatatizo Ya Kisheria.

Kuwa Wazi Zaidi, Mawazo Ya Kwenda Msituni Sio Hoja Strong Na Hayana Nafasi Kwenye Hii Karne.
Hiyo Hoja Ni Wewe Unaing'ang'ania!
 
Iddi Simba akiwa kama mwenyekiti wa ccm wazazi...Alifanikisha ujambazi wa EPA kwa kutumia influence ya chama.
Zitto akapiga kelele.
Akafukuzwa na ccm.
Kikwete akamkamata AKAWEKA GRUPU MOJA FISADI NAMBA MOJA!
Baada ya hapo...Kimya kama maji ya mtungi huku akiwa na urafiki tata na wakuu wa nchi wenye tuhuma!
Hatujui ni urafiki wa aina gani waliupinga humo kamatini...Lakini kura ya Cheyo ilishindwa kuficha kile zitto alichoweza kuficha mara baada ya yeye ku abstain!
Zitto,Iddi Simba na kikwete wanamtaka Killango ili awasafishe mafisadi na walishamtega zitto ili kuwavuta upinzani!
Bado!
HAKI NI WAKAMATWE MARA MOJA!

Mushi,

Kadri unavyorudia rudia kusema haya unayosema hapa juu, basi na mimi swali langu linarudiarudia kwako.

Nia yako ya kutaka kuingia msituni na kumwaga damu Tanzania ni ipi?
 
Haiwezekani zitto aseme IDI SIMBA AKAMATWE!
 
By the way, issue ya kusema kuwa referees wako against your team (mtandao?) ni very biased if you know what I mean. SIo fair kwa hao unaowaita marefa ambao watu wengi hapa JF tunashukuru sana kazi yao wanayoifanya kwa kujitolea lakini kwa moyo mkuu na ufanisi mkubwa.

Oh, they know it. They know it. They can't miss it.

Huwa yanaandikwa kwa font size 18, hapa, kila siku. And you know what I what I'm talking about. You get a thread suspended for moderation review and then they come back and issue some general warning while violations are patently there, in black and white. And then a thread is closed and obscenity business resumes in a new thread. Business as usual at the jamvi.

Oh, they know that. Undoubtedly. That's how it's done here. We know that! It's a "take it or leave it" world order here. Right now, we have no choice. It's their platform. What are we gonna do?

Ndugu yako mmoja anathubutu kabisa kusema, yeah, I can say anything I want, mimi ni mtandao. And you know "ndugu yako" ninaemwongelea hapa, pamoja na yule wa font 18.

Oh, they know it. Wakuu? Oh they know it. They said the other day kwamba hawa JF Mtandano ni waasisi waliosaidia sijui mtoto gani alikuwa anaumwa, waka step up.

JF mtandao? Wakuu wanalijua hilo!
 
Kwa hiyo mkuu,

Kama kina wewe na Mushi na hao ambao mnapambana na "JF mtandao" hapa mna mtandao wenu, Je kuna makosa gani wengine nao wakiwa na mtandao (if that's true and the case)?
 
Amen.

Good job Mushi.

We won't stoop to mudslinging tactics. Bear in mind, kuna JF Mtandao, hapa. We're up against them and the referees. So, just push back with dignity and honor.

Kuhani,

Be honest and fair, Mimi Mchungaji nipo kundi gani?
 
Kuhani,

Be honest and fair, Mimi Mchungaji nipo kundi gani?

Taratibu Mchungaji,

Wakati wewe unapigana na ufisadi unaofanyika Tanzania, inaonekana kuna wengine wanaunda makundi (mtandao) kupambana na wana JF wenzao.

Kazi kweli kweli, angalia mkuu usijekwita JF Mtandao- 10 (nimechanganyikiwa hata sijui kuna mitandao mingapi hapa).

1.Kuna ule wa kina masaka na wenzake waliosema wamekuja hapa kukomesha wapinzani na wana chadema.

2. Kuna huu wa Kuhani na wenzake.

3. Kuna mtandao wa MWK ambao umeleta miziki na nyeti kibao hapa JF

4. Na kuna mingine mingi tu ambayo inaonekana kuanzishwa tu na kuzushiwa kuanzishwa.

Yangu macho.
 
Kwa hiyo mkuu,

Kama kina wewe na Mushi na hao ambao mnapambana na "JF mtandao" hapa mna mtandao wenu, Je kuna makosa gani wengine nao wakiwa na mtandao (if that's true and the case)?

Tofauti hii hapa:

JF Mtandao wako sawa kuliko wengine walivyo sawa.

Wala hatu complain. Tulipojiunga tukagundua hilo tukaamua kuendelea kwa hiari yetu wenyewe. That's the world order here.

Nilikuwa nakubaliana na Mushi tu, kwamba sisi inabidi tuwe na discipline.

Mwafrika wa Kike, sijui kama ni mpenda michezo, lakini wengine utotoni tulifundishwa mpirani kwamba kuna wakati upepo unapuliza upande wako, kiwanja kiko kama mlima wewe unafunga juu, adui anacheza rafu, refa anapeta (anasema endelea tu, kwa mikono kama unavyo peta mchele).

Hudaki mpira ukatoka nje. Inabidi ujue kucheza katika mazingira ambayo the other side has already worked the ref. It is what it is. We are not gonna pull a 'Morgan Tsvingarai.' We're up to the task. No sweat!
 
wewe kuwa todays worst umejitakia, infact, you earned the title from your hardwork....kwahivo usinitumie mie lawama kwa kusema ukweli.

imani yako juu ya nia ya Mushi dhidi ya JF makes me sick....kwanini unafikiri hivyo? kwanini isiwe vinginevyo? unaushahidi gani? dhana si kitu kizuri hasa pale panapokuwa hakuna ushahidi....

Sina complain mkuu, najua kuna mengi makubwa yalitokea kati yetu kule nyuma kwa hiyo sishangai once in a while nikipata jab toka kwako.

Hiyo nia ya Mushi siijui na ndio maana namuuliza aieleze mwenyewe. Otherwise, nitakuwaje positive (nashindwa kumpa benefit of doubt) na member ambaye anaitisha watu kwenda msituni kumwaga damu? Nitakuwaje positive na mtu kama Mushi ambaye alileta habari za Kinyaga hapa na hakujali kusikia ushauri wa wengine badala yake akaendelea kuflood threads zote JF na habari za Kinyaga huku akimwita kuwa ni fisadi na kuwaita kuwa ni mafisadi wale wote waliojaribu kumshauri?

....kama huelewi ni kuwa mie sitaki Mushi mumfanye scapegoat, sitaki mumfanye punchingbag, sitaki mumfanye ndio mtu wa kuondolea stress zenu na sitaki mumgeuze yeye ndio kichekesho cha JF!! nasema hivyo kwasababu hiyo ndio inaonekana nia ya baadhi yenu......je mnataka Mushi akimbie kama Mchambuzi?? hivi kumkimbiza mtu toka hapa JF kunasaidia vipi ktk mapambano haya na mafisadi?

acheni bana....

Itanisaidia nini mimi kumtaka Mushi afungiwe? Yeye anaulizwa tu maswali kama yeye anavyowauliza wengine hapa na wengine ambao hawapo hapa kwa leo kama Zitto.

Je unataka Mushi aachwe tu asijibiwe au kuulizwa swali? kama ni hivyo hii itaitwa forum tena?
 
Tofauti hii hapa:

JF Mtandao wako sawa kuliko wengine walivyo sawa.

Wala hatu complain. Tulipojiunga tukagundua hilo tukaamua kuendelea kwa hiari yetu wenyewe. That's the world order here.

Nilikuwa nakubaliana na Mushi tu, kwamba sisi inabidi tuwe na discipline.

Mwafrika wa Kike, sijui kama ni mpenda michezo, lakini wengine utotoni tulifundishwa mpirani kwamba kuna wakati upepo unapuliza upande wako, kiwanja kiko kama mlima wewe unafunga juu, adui anacheza rafu, refa anapeta (anasema endelea tu, kwa mikono kama unavyo peta mchele).

Hudaki mpira ukatoka nje. Inabidi ujue kucheza katika mazingira ambayo the other side has already worked the ref. It is what it is. We are not gonna pull a 'Morgan Tsvingarai.' We're up to the task. No sweat!

Kwa hiyo unaniambia kuwa nawewe una mtandao wako (kwenye bold)?

Kama hiyo ni kweli, je kuna makosa kwa wengine kuwa na mtandao wao?
 
Kuhani,

Be honest and fair, Mimi Mchungaji nipo kundi gani?

Japokuwa umemrushia Mushi low blows, wewe haupo katika JF Mtandao. Sijaona unarusha obscenity hata siku moja, isipokuwa ukiwa unapelekana na mtu kimzaha mzaha.

Lakini una ndugu yako ambaye yumo. You know it! Ha ha haaaa! You know it.

I mean, it's no big secret.
 
Kwa hiyo unaniambia kuwa nawewe una mtandao wako (kwenye bold)?

Kama hiyo ni kweli, je kuna makosa kwa wengine kuwa na mtandao wao?

Sijakwambia hivyo. Ha ha aaaa. LOL! Siwahi kuona spinner mkubwa ka wewe.

Ni hivi: ambao hatuko "JF Mtandao" hatuna daraja juu ya wengine. Tupo chini ya sheria za jamvi.
 
Japokuwa umemrushia Mushi low blows, wewe haupo katika JF Mtandao. Sijaona unarusha obscenity hata siku moja, isipokuwa ukiwa unapelekana na mtu kimzaha mzaha.

Lakini una ndugu yako ambaye yumo. You know it! Ha ha haaaa! You know it.

I mean, it's no big secret.

ahaa haa,

Kama wote wenye kutumia obscenity wana mtandao wao basi inaonekana ni mtandao mkubwa sana.....

Kuhani, inabidi unipe mashariti ya kujiunga na mtandao wenu (kama hauna obscenity)....lol wakati nikisubiria Mushi ajibu swali langu la kwa nini alitaka kwenda msituni ili kumwaga damu Tanzania.
 
Sijakwambia hivyo. Ha ha aaaa. LOL! Siwahi kuona spinner mkubwa ka wewe.

Ni hivi: ambao hatuko "JF Mtandao" hatuna daraja juu ya wengine. Tupo chini ya sheria za jamvi.

Mkuu hakuna spin ila ni maneno yako tu ndiyo natumia hapa so far. Nikianza spin nitakwambia ujiandae kujibu spin.

Una hakika kuwa hiyo mitandao mingine haiko chini ya sheria ya jamvi?
 
Back
Top Bottom