Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
No no no! You're missing the point.
Simrudishi Kishoka kwenye skandali lake la 'pothead.' Namuuliza kama alichokisema mara ya kwanza akakisema amekosea kina tofauti gani na hii ya kusema Mushi ni insane au hana upeo. Unaona pointi yangu?
Halafu, akimaliza kueleza tofauti ya upeo mdogo wa kuelewa, insane, na pothead, aeleze ana maana gani kusema hawezi kukimbia JF kwa sababu ya mtu anaitwa Mushi. Hiyo nayo sio dharau?
Kuhani,
Ulielewa maana ya nilichoandika hapa?
Mteja wako yeye ni mpotoshaji na hachelewi kuzushia jambo akishindwa kujibu hoja. Wengi wetu tu karibu kung'atuka na kuanza kula pensheni na mrithi wetu ambaye ni mteja wako, hapikiki!
Najua wewe ni bingwa wa Fasihi, je ni vipi nilimdharau Mushi? kusema hapikiki? Wewe na mimi ni Makungwi, sasa kama katika jando tunatakaachia kijana Urithi aendeleze Jando halafu akawa hafuatili kwa makini na umahiri ni kosa kuyatamka?
In fact Mushi should be proud pamoja na ubishi wake kuwa namfikiria kuwa Mrithi wetu wa Harakati, kuendeleza mapambano wakati wengine tunastaafu.
Sasa nyie mabingwa mmekimbilia kuhitimisha Reverend atajitoa JF kama Mushi hatafungiwa! wow Kiswahili ni lugha yetu, lakini ni kigumu!