Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

mhhhh,

Ukiomba msamaha ni tofauti na kuelezea nia ya ulichofanya.
Mushi aseme nia yake ya kuitisha watu waingie msituni ili kumwaga damu hapa JF.
Sasa kama unataka akielezee kilichomfanya afukuzwe una maana gani?Unafahamu kabisa kuwa siyo kitu kizuri tena akielezee maajabu ya dunia haya!
 
mhhhh,

Ukiomba msamaha ni tofauti na kuelezea nia ya ulichofanya.
Mushi aseme nia yake ya kuitisha watu waingie msituni ili kumwaga damu hapa JF.

Mushi hatetei hayo mawazo. Ameshafungua ukurasa mpya.

I don't think he will be dragged into the muck on this one.
 
Kwa sababu alichokisema kilikuwa roundly criticized, na akafungiwa. Akaomba msamaha, akafunguliwa, aka move forward. Tukafungua ukurasa mpya.

Mushi, stay above the fray on this one.

Kuita watu kuingia msituni na kumwaga damu ni fray?!!?

BTW,

Limitation ya kuuliza watu kwa waliyosema hapa JF ni ipi?
Je, kuna uwezekano wa wana JF kubadili mawazo yao kwa walichosema hapa?
 
Unalikomalia li nini hilo? jambo ambalo Mushi alilisema au mwingine?

Kuna makosa gani kwa Mushi kuelezea nia yake hapa.

Mushi, kwa nini ulitaka watu kuingia msituni ili kumwaga damu Tanzania?

dhamira zako ya kumprovoke Mushi ili hatimaye afungiwe imeshtukiwa. Tafuta aina ingine ya kuspin au la kusshupalia. Unajua udhaifu wa Mushi hivyo unataka kutumia udhaifu wake, boooooo!
 
Sasa kama unataka akielezee kilichomfanya afukuzwe una maana gani?Unafahamu kabisa kuwa siyo kitu kizuri tena akielezee maajabu ya dunia haya!

Kama alifanya kitu ambacho alijua kabisa kuwa kingepelekea JF kufungiwa au waendeshaji wake kushitakiwa? Kwa nini aaminiwe sasa kwa vile tu aliomba msamaha baada ya kushinikizwa kufanya hivyo?
 
dhamira zako ya kumprovoke Mushi ali hatimaye afungiwe imeshtukiwa. Tafuta aina ingine ya kuspin au la kusshupalia. Unajua udhaifu wa Mushi hivyo unataka kutumia udhaifu wake, boooooo!

Sasa hivi MWFK anarusha cheap shots tupu!

Sikufuatilia vizuri mjadala wake na JMushi lakini sijui kakamatwa kwenye pointi gani huko? I can't believe it.
 
dhamira zako ya kumprovoke Mushi ali hatimaye afungiwe imeshtukiwa. Tafuta aina ingine ya kuspin au la kusshupalia. Unajua udhaifu wa Mushi hivyo unataka kutumia udhaifu wake, boooooo!

Ukidhani kuwa hapa inayofanyika ni provocation basi u have no idea of who MWK is. Take time to see the bigger picture. Otherwise, ndio mwanzo tu nimeanza kuonesha the reason behind what Mushi is doing here whatever it is that amekuwa anafanya.
 
Mambo ya kujuana ya nini hapa JF. Majigambo nimeshayasoma sana humu na sina haja ya kujua zaidi. Hoja zikizidi, kukubali sio dhambi wala haibadilishi somebody's dignity; hapa sio mashindanoni kwamba ushindi lazima.
 
....kama JM1 ni mapepe au anatoa pumba basi kila anayemjibu pia ni mapepe na pumba!!!
....mwacheni Mushi awe Mushi, kama hutaki iwe hivyo basi msimjibu!! leave the kid alone!
....hiyo comment ya kuingia msituni, ilisababisha jamaa akafungiwa, wewe MWK unaifufua...ni nini lengo lako?? unataka ajibu, halafu afungiwe au ni nini hasa?
....kwani ni lazima kujibishana na kila mtu hapa!! mie mbona nipo kimya toka friday, lakini nasoma karibia kila thread hapa tena sentensi kwa sentensi.......tabia ya kumzodoa Mushi lazima ikome!! narudia kama unamwona pumba, basi leave him alone!!.

MKuu wangu YNIM.

Kati ya vitu ambavyo sijafanya hapa ni kumwita Mushi kuwa ana pumba. Hilo sijafanya na sitakaa nifanye. KUna watu nimewaita kuwa wana pumba lakini sio Mushi.

Mushi ameuliza nia yangu ya kumpa KIkwete muda, wewe hukusema kitu na ulikaa kimya. KUna kosa gani mimi kumuuliza nia yake ya kuitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu?
 
No, hiyo fray unayotaka kum drag aingie kutetea kwenda msituni. Mushi kakataa kuwa dragged into that morass!

Hayo ni maneno yake na so far yataendelea kuulizwa hadi ayatolee majibu au aamua kwenda mtera (kuingia mtini).
 
Mambo ya kujuana ya nini hapa JF. Majigambo nimeshayasoma sana humu na sina haja ya kujua zaidi. Hoja zikizidi, kukubali sio dhambi wala haibadilishi somebody's dignity; hapa sio mashindanoni kwamba ushindi lazima.

Ni vizuri kuwa umegundua hilo na kulisema hapa.

Asante mama, bado nasubiria jibu la Mushi kwa kampeni yake ya kutaka JF ifungiwe na kuwatia mashakani waendeshaji wake.

BTW, sitegemei jibu hilo kwa yeyote yule but Mushi. Aliniuliza maswali ya kwa nini nilimpa Kikwete mwezi mzima nikamjibu. Sasa ni wakati wake wa kujibu moja ya maswali yangu.
 
Kama alifanya kitu ambacho alijua kabisa kuwa kingepelekea JF kufungiwa au waendeshaji wake kushitakiwa? Kwa nini aaminiwe sasa kwa vile tu aliomba msamaha baada ya kushinikizwa kufanya hivyo?
Alikifanya so ni wakati uliopita hayo yalishapita!Sasa wewe kama unataka yaanze upya una lako jambo!Anaaminiwa ni kwa sababu na yeye ni BINADAMU alifanya kosa na aliomba msamaha yakaisha.Sasa ni wakati mpya ya kale yamepita amekuwa kiumbe kipya.Pia kumbuka hakuna binadamu aliye mkamilifu hivyo basi Muache Mushi akate nyanga kama mwana JF.
 
Alisha sema amekosea. Ajibu nini tena?

MWFK, you're in a hole, stop digging.

Jibu si kusema kama amekosea au la. Jibu ni kuelezea nia yake. Kama nia ya mtu ambaye anataka watu waingie msituni na kumwaga damu Tanzania isipo wekwa wazi ikajulikana? Kwa nini mtu huyo achukuliwe kuwa ni mtu mwenye kuitakia amani JF na Tanzania?

Hii hole ameianzisha Mushi mkuu.
 
Alikifanya so ni wakati uliopita hayo yalishapita!Sasa wewe kama unataka yaanze upya una lako jambo!Anaaminiwa ni kwa sababu na yeye ni BINADAMU alifanya kosa na aliomba msamaha yakaisha.Sasa ni wakati mpya ya kale yamepita amekuwa kiumbe kipya.Pia kumbuka hakuna binadamu aliye mkamilifu hivyo basi Muache Mushi akate nyanga kama mwana JF.

Hollo mkulu,

Ngoja nikuulize swali moja ambalo huwa siliulizi hapa JF.

Kwa nini Mushi alivyoniuliza swali over and over again kuhusu mimi kumpa JK mwezi mzima wewe au wenzako hamkumwambia kuwa imetosha.

Ngoja nijijibu mwenyewe just in case hautajibu:

Ni kwa sababu...... nimekosa jibu .... labda Mushi tu ndiye anaonewa akiulizwa.... swali .... ohh sijui kama ni kweli hapa.... I dunno.

My point ni kwamba. Mimi nataka kujua nia ya Mushi kwa kile alichofanya. Bado sijaona kama hapa JF kuna limit kuwa watu wakishafanya mambo basi ikipita muda fulani wasiulizwe.

Kama imeanza leo basi nijulishe tu na kisha the same standard itatumika kwa members wengine hapa.
 
Mwamtetea bure... ukiangalia anachokifanya Mushi pamoja na kuonekana ni mwanamapinduzi, kuna walakini mkubwa sana ambao unaonyesha dhumuni lake si kuleta hamasa ya Uanaharakati au Mapinduzi bali ni kuchochea vurugu ambayo inaweza kufikia kijiwe kufa.

Sitakuwa msiri kubainisha nahisi Mushi katumwa kwa makusudi kuleta vurugu humu kwa niaba ya wale ambao tangu awali walitaka kuua JF tangu kule Jambo Forum na sasa hapa JamiiForum.

Wengi tunapingana hoja, kuna wale wa CCM, kina Kada Mpinzani na wengine, kuna wanaopingana kuhusiana na Dataz, kina Kubwajinga, hata ndugu yangu Kuhani.

Lakini wote wale watetea Serikali au wakosoaji wa Serikali, hatujafikia hatua za Mushi ambazo zinaonekana kuwa ni uropokaji bila mpango.

Akiulizwa swali badala ya kujibu swali, huzua jambo, ataruka kama panzi kutoka thread moja mpaka nyingine akilizungumzia jambo lile lile na kuzua mapya.

Kuhani alijaribu sana kuwa Wakili kwa Mushi alipofungiwa, lakini naona si mbali sana wema wa Kuhani utafika kikomo.

Sisi tunaupenda huu ukumbi, ndio maana Mchungaji leo yupo tayari kubishana hoja na Kuhani, FMES, Game Theory, Kada Mpinzani, Mwafrika wa Kike katika kuelimishana.

Hii thread ilikuwa ni kuhusu Kikwete kupokea ripoti ya madini, kaletwa Anna Killango kuwa analinda ufisadi, wametuhumiwa kina Iddi Simba mpaka Zitto kusema wanalinda ufisadi wa EPA.

Sasa tunapokuwa na mchafuzi ambaye ishara zote zinaonyesha kuwa nia yake ni kuleta vurugu mnataka tukae kimya?

Mbona tunamvumilia Kada Mpinzani na UCCM wake pamoja na kuwa tumeichoka CCM?

Mushi is an exceptional character, na matendo yake kila siku yananifanya nijiulize, je huyu ana nia nzuri na JF au katumwa kuvuruga JF ili kina Invisible waanze kulala nyumba tofauti kila siku na hata credibility ya JF ikapotea?
 
Kama Mushi katumwa basi na wengine wengi wanatumwa. gedere hajioni mkiani na waafrika ndivyo tulivyo kwa kukumbatia na kunyooshea kidole.
 
Back
Top Bottom