Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Kama MWK anajidai anaiogopa serikali...Then na sisi wananchi tuanze uchunguzi kuwa ripoti ya madini aliipata vipi yeye na SINCLAIR?

ukiandika kitu kisome kwanza kabla ya kupost, kievaluate. Akili kichwani kwa nasikia kuna wenyewe humu ndani. The best way don't respond to whatsoever you think will bring to into trouble. Ulishaonywa, next time you do the same mistake you will be punished responsibly + appropriately.
 
Ballali si kuna waliosema kawekewa sumu?
Kolimba na Sokoine ni mimi?
Na uchawi bungeni mara baada ya kikao kwenye kaburi la mwalimu butiama ni mimi pia?

Na wewe mtizamo wako ni nini kuhusu hayo?

Nia yako kwa JF na waendeshaji wa JF ni ipi pale ulipoitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu ya watanzania?
 
Huu ni mtizamo wako binafsi na sidhani kama unataka kulazimisha wote hapa JF wafikirie au waichukulie hii issue kama unavyofikiri.

Maneno ya kuingia msituni na kumwaga damu ni yake Mushi na sidhani kama kuna mtu kamwekea.

Kakosa majibu mkuu unadhani ni kazi rahisi kutetea mawazo ya kutaka watu kuingia msituni na kumwaga damu ya watanzania kwa vile kelele zako za JF hazijasikilizwa?

Mjadala hapa ni connection ya kifisadi iliyopelekea SHOMBO EVERYWHERE!
 
Mushi ahukumiwi hapa ila anaulizwa tu kueleza nia yake. Muda mfupi tu uliopita hapa alisema kuwa Mama Malecela atoke ccm maana asipotoka atauwawa.

Uliyaona hayo?

Nia ya Mushi ya kuingia msituni na Kumwaga damu ni ipi?

Unaona? Kumbe hamkumuelewa, kama nilivyomwambia Mkuu Kishoka.

Mushi ame endorse hotuba ya Malecela, lakini anaswalisha nia yake. Sasa angemuingiliaje tena msituni?

Alimaanisha atauwawa na wenzie ndani ya CCM. Labda ni aina yake ya uandishi ilifanya achukuliwe out of context.
 
Nilisema ni muhimu MAFIASADI WAKAMATWE LA SIVYO KUNA UWEZEKANO WA NCHI KUINGIA KWEMYE MACHAFUKO!
NI MAONI TU!

Umebadili mawazo kwenye ulichosema?

Mimi nilikujibu swali lako kuhusu KIkwete, je na wewe nia yako dhidi ya JF ilikuwa ni ipi? ni sahihi nikikuita fisadi ambaye anataka JF ifungiwe?
 
Kabla ukiandika kitu kisome kwanza, kievaluate. Akili kichwani kwa nisikia kuna wenyewe humu ndani. The best way don't respond to whatsoever you think will bring to into trouble. Ulishaonywa, next time you do the same mistaken you will be punished responsibly + appropriately.

Sina kosa acha kuwapa kichwa!
 
Unaona? Kumbe hamkumuelewa, kama nilivyomwambia Mkuu Kishoka.

Mushi ame endorse hotuba ya Malecela, lakini anaswalisha nia yake. Sasa angemuingiliaje tena msituni?

Alimaanisha atauwawa na wenzie ndani ya CCM. Labda ni aina yake ya uandishi ilifanya achukuliwe out of context.

Kwa nini mkuu unataka Mushi achukuliwe kwenye context (ambayo bado sijaiona) kama yeye hachukui maandishi ya wenzake hapa JF kwenye hiyo "context"?

Unaweza kumsadia katika hilo?
 
Mjadala hapa ni connection ya kifisadi iliyopelekea SHOMBO EVERYWHERE!

Good job Mushi. Don't get derailed and dragged back into 'msituni debate.'

Wow! Damage control yako inanimaliza kinoma mwanangu. Ume move forward, na una reclaim your credibility, terrific job! Wow LOL!
 
ni todays worst kwasababu unarudisha ya msituni ambayo Mushi alishafunguwa, akaomba msamaha na yamekwisha!! sasa kwanini tunarudi/unaturudisha tulipotoka??

Kaka Kishoka,
siamini kama chochote anachofanya/kuongea Mushi hapa kinaweza kusababisha JF ikafungiwa!!! na pesa sio issue kama kibaraghashia kitapita....lakini hatuwezi kuwaachia kumfanya mtu ambaye sie, kimsingi mna exxagrate juu ya huyu dogo!! labda nia yake ni attn na kama yupo guilty of anything kwa mawazo yangu ni hilo la kutaka attn......na kama hivyo ndivyo, basi watu kama nyie ndio mmeingia mtegoni mwake!!

just leave the kid alone!!

Mkuu,

Nimerudisha hii issue kama Mushi alivyorudisha issue nilizotoa miezi kibao iliyopita hapa. Kama unataka kuwe na limitation ya muda wa kuibua hoja za zamani basi waweza kusema tu mkuu na mimi nitakuelewa. Otherwise, nitakusubiri kuona ukimwambia mushi aache kuuliza watu mambo yaliyopita hapa JF.

Asante.
 
Kwa nini mkuu unataka Mushi achukuliwe kwenye context (ambayo bado sijaiona) kama yeye hachukui maandishi ya wenzake hapa JF kwenye hiyo "context"?

Unaweza kumsadia katika hilo?

Kwa sababu huwezi uka make a valid argument kwamba, kwa sababu Mushi alichukulia hoja ya mwenzake out of context, ngoja na mimi hapa nipindishe alichosema Mushi kimakusudi makusudi. Ni kutokuwa mwaminifu wa kimawazo, intellectual dishonesty.
 
Sina kosa acha kuwapa kichwa!

Kuhani inaonekana damage control unayoisema kuhusu Mushi umeikosa kidogo.

Mwenzako haoni kosa kuitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu ya watanzania. Nikiunganisha hii na ile ya kuleta majina ya Kinyaga hapa na kusema kuwa wana uhusiano na Ballali (wakati ni uongo) basi naweka hitimisho kuwa Mushi ni miongoni mwa wale wanaotaka JF ifungiwe na waendeshaji wake washitakiwe kwa uhaini na na kuharibu characters za watu.
 
Hatimaye ikawa hivi....kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!

Haikuishia hapa walionekana hapa mtaani

Its GD dawg!

Gangs.gif
 
Kwa sababu huwezi uka make a valid argument kwamba, kwa sababu Mushi alichukulia hoja ya mwenzake out of context, ngoja na mimi hapa nipindishe alichosema Mushi kimakusudi makusudi. Ni kutokuwa mwaminifu wa kimawazo, intellectual dishonesty.

and that level of dishonesty is not significantly different from the bipolar disorder!
 
Kwa sababu huwezi uka make a valid argument kwamba, kwa sababu Mushi alichukulia hoja ya mwenzake out of context, ngoja na mimi hapa nipindishe alichosema Mushi kimakusudi makusudi. Ni kutokuwa mwaminifu wa kimawazo, intellectual dishonesty.

Na hili lilikuwa ni swali nimekuuliza ambalo si lazima liwe ndilo hitimisho la mawazo yangu. Ninajua kuwa Mushi hachukulii wengine in context na mimi ningependa sana afanye hivyo.

Kabla ya kumuumbua kwenye issue ya KInyanga, nilimpa ushauri sana ikiwemo kumwandikia PM kuwa atulie kidogo kwenye issue ya Ballali lakini mwenzangu yeye akaendelea tu kuasasineti character za vijana wa watu.

Kwa sasa sina imani kabisa na Mushi kama ni mtu anayeitakia mema JF. Mimi natumia maneno yake na sio opinion yangu. Namuuliza tu atoe maelezo ya kwa nini anaitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu ya watanzania wakati anajua kabisa kuwa kufanya hivyo anawatia waendeshaji wa JF kwenye matatizo?
 
haya na wewe tukukumbushe ya kwako ya kumuita Mukandala muuaji na fisadi.
 
Kuhani inaonekana damage control unayoisema kuhusu Mushi umeikosa kidogo.

Mwenzako haoni kosa kuitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu ya watanzania. Nikiunganisha hii na ile ya kuleta majina ya Kinyaga hapa na kusema kuwa wana uhusiano na Ballali (wakati ni uongo) basi naweka hitimisho kuwa Mushi ni miongoni mwa wale wanaotaka JF ifungiwe na waendeshaji wake washitakiwe kwa uhaini na na kuharibu characters za watu.

Mona hamjafungiwa uliposema una ripoti kabla hata ya kikwete mwenyewe?
Nani anajua SINCLAIR ALIIPATA VIPI RIPOTI?
VIPI KUHUSU WEWE?
Ukisema mimi nina nia mbaya na jf..Halafu nikaenda kuleta data za worst issue or words ever..Utazidi kuadhirika!
Ni ushauri tu..TURUDI KWENYE MJADALA KWASABABU UNATAKA SOMETHING NA TUMESHAGUNDUA!
 
Back
Top Bottom