Kauli za kisiasa na za kiukweli zinajulikana!
Kama yuko Hai sema...Maana ulisema ulibadili mawazo mara baada ya kuhojiwa na FBI!
Hivi ni kwanini walikuhoji?
Mhh,
Hili ndilo jibu la madai uliyotoa hapa kuwa Zitto alitumwa na Kikwete kuja Marekani?
Labda nikukumbushe kuwa nina hoja ambayo inaendelea hapa ambayo inamtaka Kikwete aresign haraka sana maana inaonekana huna muda wa kusoma threads zote.
Lazima kuna mtu mzito ana hisa kubwa hapa jf...
Wewe unasema watu walinionea huruma baada ya kufungiwa na hawakuwa na sababu za kufanya hivyo!
Haya...Ni wewe pia uliyemsapoti jamaa yangu jasusi kunitukana!
Narudia tena...Wewe kubadili kauli kuwa ballali hajafa bado haina maana ya kisheria.
Ni kisiasa tu!
Ballali kufa ama kutokufa hauiathiri kesi wala nini!DDDD YUPO DF YUPO,IDDI SIMBA YUPO,LUKAZA,MALEGESI NA WENGINEO WAPO!
Body ya wakurugenzi wapo!
Wengine wametegwa na kelele hawawezi kupiga tena!
Kwanini Malecella na si Zitto?
Hiyo plan kuwa ccm kwa kushirikiana na cheyo na zitto na killango itabadilika nani ali irecommend kwako?
JF inamilikiwa na watanzania kama wewe ambao for the last two years wametuletea madudu mengi kabisa ya serikali ya Kikwete na waliomtangulia kwa kasi na uzito mkubwa sana wa ajabu.
Kama hao watanzania unawaita wazito basi ni kweli ni wazito maana hata usalama wa taifa wenyewe wameshindwa.
Bado narudia kusema kuwa kama ukiflood forum (kitu ambacho ni kinyume cha sheria za JF) au ukiiitisha watu kuingia msituni na kumwaga damu za watu wa Tanzania (kitu ambacho sijui una kifanya kwa nia gani) basi nitafurahia sana kufungiwa kwako.
Mushi, nilivyoingia hapa JF, siku ya kwanza niliitwa malaya na membaz kibao hapa wakiongoza na mwana JF anajiita Sam. Sikulialia kama mtoto na wala sikuondoka kwa vile nimetukanwa.
Kama wewe unajiita mpambanaji na unalialia kama mtoto ukitukana basi wewe hufai kabisa kuwa mpambanaji.
Kubadili imani ya kitu chochote sio jambo la kisheria. Ukipata sehemu yoyote nimesema kwamba nilibadili imani yangu toka kuamini kuwa Ballali amekufa na kwenda kwenye kutokuamini kwa sababu ya kisheria basi nitafuta uanachama wangu JF
Kesi gani unaiongelea hapa?
Si unaona sasa?
Hamtajificha kamwe wale mnaotaka issue ya EPA ife!
Unapouliza kesi gani na wakati jina la ballali lipo hapo..Ni kujifanya hujui wakati ushahidi wa EPA na ccm kwa kupitia Iddi Simba ambaye ni mshirika wa zitto na kikwete na cheyo..KUNA UTATA!
LAKINI KWA UWEZO WA MUNGU...TUTASHINDA!
NB:Unapodai kesi gani hiyo...Unatia mashaka kwasababu nyie mlikuwa sapoters wa ballali toka akiwa hai hadi kupotea kwake ghafla kuliko subiriwa kwa halli na mali ndani ya mwezi ulioutoa wa kumpa muda huo kikwete mara baada a zitto kufika hapa marekani!
Nasema muwe wazi!
Plan ya kuchafuana ilianza kitambo..Niliiona na kumkanya zitto kama wengine walivyofanya..Alikaidi!
Bila watu kukamatwa..Then kuna mengi ambayo hamtaamini!
Kumradhi kwa wote kwa kutoka nje ya mada na kuanza kulonga na JMushi.
Mwafrika wa Kike,
Huyu Mushi alituambia kuwa yeye na Mama Zakhia Meghji na familia yake ni dam damu, je kaachana nao kwa kuwa wao ni mafisadi kama anavyotaka Mama Killango na Zitto wasikae meza moja na mafisadi?
Kama hajawakana kina Mama Meghji na sijui kina Nyangu, basi yeye Mushi ni Fisdai na ni Kibaraka wa Mafisadi aliyetumwa hapa JF kuchafua hali ya hewa ili mafisadi wa EPA wazidi kupeta!
Huyu Mushi alituambia kuwa yeye na Mama Zakhia Meghji na familia yake ni dam damu, je kaachana nao kwa kuwa wao ni mafisadi kama anavyotaka Mama Killango na Zitto wasikae meza moja na mafisadi?
Kama hajawakana kina Mama Meghji na sijui kina Nyangu, basi yeye Mushi ni Fisdai na ni Kibaraka wa Mafisadi aliyetumwa hapa JF kuchafua hali ya hewa ili mafisadi wa EPA wazidi kupeta!
Mkuu, umepindisha alicho kisema Mushi.
Mushi weka ile posti hapa mwanangu, tuwakamate wapindisha mambo!
Mkuu, umepindisha alicho kisema Mushi.
Mushi weka ile posti hapa mwanangu, tuwakamate wapindisha mambo!
Kuhani,
Hakuna kupindisha jambo, Mushi alisema yeye na familia ya Mama Zakhia Meghji ni majirani na anafahamiana nao sana. Zaidi alisema anasikia uchungu, lakini hakutamka kuwakana kina Meghji kwa kutuhumiwa Ufisadi.
Kama yeye anashupalia wengine waachane na mahusiano waliyonayo na wenye kutuhumiwa Ufisadi, kwa nini yeye asiwe wa kwanza?
Don't try to twist the stories here I know very well where you are heading with this!
Mkuu Rev,
hili ni swali ambalo nimejiuliza sana baada ya kuona akiitisha watu kuingia msituni na kutisha kuwa damu itamwagika kama anachotaka hakitafanyika.
Mushi hana nia njema na JF. Hili nimeliona na sishangai kama nia yake ni kuvuruga forum au kutaka waendeshaji wa JF washitakiwe kwa kutishia kumwaga damu Tanzania.
Kuhani,
Hakuna kupindisha jambo, Mushi alisema yeye na familia ya Mama Zakhia Meghji ni majirani na anafahamiana nao sana. Zaidi alisema anasikia uchungu, lakini hakutamka kuwakana kina Meghji kwa kutuhumiwa Ufisadi.
Kama yeye anashupalia wengine waachane na mahusiano waliyonayo na wenye kutuhumiwa Ufisadi, kwa nini yeye asiwe wa kwanza?
Don't try to twist the stories here I know very well where you are heading with this!
MWK Usinijengee hoja ya kufukuzwa UPYA!
Sikumwambia mtu aende msituni...Nilisema mafisadi wasipokamatwa mimi binafsi niko radhi!
Nilipofungiwa...Niliambiwa ni kwa kumwita JK mtu mwenye vitendo vichafu vya kifisadi!
Sasa unapoirudisha issue kivingine kuitwist na ku appeal UPYA kwa MODS kuwa nifungiwe...Then UTATA TUU!
Ulitaka watu waende msituni na ukatishia kumwaga damu kama wasipofanya yale unayotaka. Haya ni maneno yako mwenyewe na issue ya kufungiwa ni wewe uliileta hapa kwenye mjadala huu sio mimi.
Ni makusudi yangu kuhakikisha kwamba tunaendelea na mjadala wa kamati ya Rais
Hivyo basi,Mh Zitto akiwa kama mmoja wa wanakamati hao ambaye pia ni wazi kwa kiasi kikubwa;hoja yake ya kamati teule kule bungeni ilichangia maamuzi ya Mh Rais kuiunda kamati hiyo.
Ni wazi kwamba kamati hii imeundwa mara baada ya mzozo kuwa mkubwa,mzozo ambao wakina Zitto waliuanzisha kule bungeni kutokana sakata la "UFISADI"? na mikataba mibovu ya madini.
Nimeamua kum"quote"Mh Zitto pale alipokuwa akisisitiza ni kwanini ali"walk out"kule bungeni pale alipoibua issue hii kule bungeni, na sababu aliyoitoa ni ya kwamba yeye ni mtu mwenye "PRINCIPLE"ambapo yeye mwenyewe aliwarahisishia wasomaji kwa kuwapa definition sahihi kwamba ni"MISIMAMO ISIYOYUMBA"
Kwa maana nyingine ni kwamba;alikuwa radhi kuyatema maslahi yake binafsi kama vile posho na mishahara,kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi wote!thats a principle,hakubadili msimamo..na ndio maana nafikiri CHADEMA wanamuaminia baba lao Mh Zitto kwamba atarepresent maslahi ya taifa,hata humo kamatini.
Natumia fursa hii kuwaalika wana forum wote kuchangia wakati huu ambapo CHADEMA wameshatoa msimamo wao kuwa wanamsapoti Mh ZittoHivyo ni wazi kwamba kazi inaanza mara moja.
Tunatumia pia fursa hii kumshawishi Mh Zitto aendelee kuwa mtu mwenye principle kama ambavyo tume mquote,na kwamba tunafuatlia kwa makini kwani bado hatujajua kazi halisi watakayoifanya.
Hivyo basi tunaomba aendelee kuwa na principle ileile aliyokuwa nayo huko bungeni pale atakapoanza kazi humo "KAMATINI"Tumejaribu mara nyingi kuona kama Mh Zitto angewasili hapa jamvini ili kulonga na wana jf kwamba ni nini haswa anachokwenda kufanya humo kamatini,kwakuwa hakufanya hivyo..then basi mjadala unaanza na tunategemea kuwa tutaendelea kuchangia kuanzia sasa hadi hapo kamati hiyo itakapo wasilisha ripoti yake kwa Mh Rais.
Thread hii sijaifunga,kwani bado sijajua tarehe kamili kamati hiyo itakapo"wrap up"na kuwasilisha kwa mkuu matokeo ya hiyo "assignment yao"Haya tena wana forum..mchango wenu,na pia changamoto kwa mbunge wetu huyu kijana,machachari,mwenye uchungu na maslahi ya wananchi na taifa lake kwa ujumla..!unakaribishwaMh Zitto uje utueleze kama bado wew ni mtu mwenye "PRINCIPLE".