jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
- Thread starter
- #221
Naomba na wewe utegemee the same!Of all pple Mushi siwezi kukubrush off wewe! Ninapinga hoja zako ingawa tumekuwa tunakubaliana mengi hapa kwa muda mrefu. Tegemea upinzani kama huu katika maisha ya sera na siasa!
Kwasababu mimi nina sifa ya uvumilivu na kusimamia hoja bila kutetereka wala kuwa na jazba!