de'levis
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,222
- 1,567
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
amemshukuru kwa lipi?
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
TBC walimfukuza kazi.
Vitimbi sio kidogo, waliacha kabisa hata kureport habari za kesi yake, walimtenga vibaya kabisa ila mungu kampigania na sasa yupo huru.Well then i am expecting him kurudi kwenye one of the Tv Stations...lakini kwa jinsi mlivyoelezea sidhani kama itakuwa rahisi kwake kurudi TBC inaonekane huko na kwenyewe alifanyiwa vitimbi
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
Well then i am expecting him kurudi kwenye one of the Tv Stations...lakini kwa jinsi mlivyoelezea sidhani kama itakuwa rahisi kwake kurudi TBC inaonekane huko na kwenyewe alifanyiwa vitimbi
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Heheheee umeanza mipasho!?Vitimbi sio kidogo, waliacha kabisa hata kureport habari za kesi yake, walimtenga vibaya kabisa ila mungu kampigania na sasa yupo huru.
Aibu zake aibu zao? Aibu zao wenyewe tbc1
Kweli mzee Pinda ni mtoto wa mkulima. Amenikumbusha kijijini kwetu wakati marehemu baba yangu anapata hii pombe wenyewe wakiwa wanaiita pombe ya mikenge!!inabidi muro leo ujipongeze kama huyu bwana hapa chini
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Hahaha... Sio mipasho bht ni ukweli halisi, afu kuna watu wanakerwa j muro kuachiwa lol, shame on them. Ndio kaachiwa sasa wajinyweshe tu 'vyumu'Heheheee umeanza mipasho!?
Utasikia waosha vinywa sasa hapa....
Ni wangapi wameshtakiwa wakashinda kesi na wakaendelea kufanya kazi, kawadanganye watu kwenye vijiwe vya kahawaSheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.