Kweli sasa nimeamini kuwa ile media company ya wahaya imejaa vilaza na wenye majungu, na inaonyesha pia kuwa sera yao ya kuajili lazima uwe na roho, tabia, na ukatili wa kimagamba. Shame on you.Obama alikuwa na jibu moja tu kwa wale ambao hawakuamini kuwa Osama amekufa. Obama alisema ' you will never see Osama walking on this planet again'. Mimi nasema ' you will never see Jerry Muro employed again'
hana tena mvuto..baada ya kufukuzwa TBC alijiunga na Tumaini university..kuna mwalimu alimfukuza kama paka! Kila mtu tumaini alikuwa anamuona kichefuchefu.
Juzi juz hapa nimekutana naye maeneo ya Calabash na GX 100 yake, maskini kachooka. Nikamblock kwanza! Nilikuwa nasubiri alianzishe bahati nzur akawa mpoleee
ndio maana nasema wewe ni comedian
There is a lot of questions about validity of this story.
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
Wewe nawe....tumia akili kidogo.....He has recently got married just in case you are not aware of.
He has recently got married just in case you are not aware of.
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Nakubaliana na wewe Kumbe hata Kina Lowasa na chenge tunawaonea tu.. Hakuna ushaidi. Kweli Tanzania kazi tunayoRushwa au ufisadi haumfungi mtu mwenye akili zake timamu nchi hii. Ni mfumo wa maisha kama ilivyo mifumo mingine ya kawaida kama vile DINI, ELIMU,...
kuwadi wa evil ,unayoyafanya hata dini yako hairuhusu....afadhali ulivyokuwa ilboru saiv sijui umefanywa nn na mafisi wa nchi hii.Acha mipasho sasa. Mimi siyo hakimu. Best judgement has been reached. Tumuache naye sasa awe huru. Mimi nimempa onyo tu! Aangalie pa kugusa, siyo kila mahali panafaa kugusa. Wanaoona wananyamaza siyo wajinga.
duuh, we upo Tanganyanyika kweli? au upo Zanziberi.Ameachiwa achiwaje? vipi tuhuma dhidi yake,zilipikwa? Na nani,na kwa sababu gani...vipi jina lake baada ya muda wote huo wa kupakana matope....naomba ufafanuzi kidogo hapa!
There is a lot of questions about validity of this story.
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
hatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru.mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...
Hao ndio hata kushtakiwa hakutakuwepo kabisa. Hakuna namna ya kumsimamisha Chenge mahakamani akakwambia ile $ 1,000,000/= kule visiwani kaipataje! Ushahidi hauwezi kuwa hizo dola ambazo kwake ni vijisenti tu.Nakubaliana na wewe Kumbe hata Kina Lowasa na chenge tunawaonea tu.. Hakuna ushaidi. Kweli Tanzania kazi tunayo