Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,073
Ndo majukumu yenu hayo cheupe. Punguza uvivuHe he uchumba tu kashaanza kufanya kazi zote hapo ndoa bado sasa usimfanye house girl umuoe kweli mkuu yote kwa yote hongereni wachumba mfikie malengo yenu
Ni suala la muda tu!! ๐ ๐Tunasubiri thread nyingine ya kulia kama mbwa kachoka mkuu
Mtu atapigwa na kitu kizito hatariNi suala la muda tu!! [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahTunasubiri thread nyingine ya kulia kama mbwa kachoka mkuu
Mapenzi yakianzaga uwa matamu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu ya humu ndani unaweza kuzimiaa๐๐๐๐Tunasubiri thread nyingine ya kulia kama mbwa kachoka mkuu
Kwenye kikao chetu tumekubaliana hayo majukumu tufanye tukishaingia kwenye ndoaNdo majukumu yenu hayo cheupe. Punguza uvivu