Hatimaye ile picha ya mapacha watatu imepatikana

Hatimaye ile picha ya mapacha watatu imepatikana

Hamna kitu wanaweza mfanya! Tena ngoja amalize msiba awapatie majibu mubashara
Huyu mama atakuwa na kazi ngumu, ila sina wasiwasi maana Magufuli vni mwalimu mzuri! Makauzu hawataamini ushupavu wake...namuona _'Iron lady' wa tz!
 
Naona taratibu watu wanaanza kum appreciate Magufuli...
Na bado! Magu ni chuma period!
Ila ameacha kakinoa chuma kingine, the Iron lady! Hakuna kitu kukatiz, hebu waambie wampe uenyekiti wa ccm haraka!
 
Back
Top Bottom