Nitakutag usijaliKaa kwa kutulia uone
Wajaribu afu bunge livunjwe tukutane nao kwenye uchaguzi waone moto wetu. 😆Ninasikia mama ametishiwa kura ya kutakua na imani kama watu fulani hawata teuliwa.
Ulibisha bisha sana juu ya kifo cha huyo mtu jiwe na sasa unabisha kingine tenaHamna kitu wanaweza mfanya! Tena ngoja amalize msiba awapatie majibu mubashara
Hawa si walishaomba msamahaKuna wadau walikuwa wanasumbua sana tuwatafutie hii picha ya mapacha watatu waliopambana kuhakikisha HAYATI JPM anaingia madarakani.View attachment 1730092
Wajaribu afu bunge livunjwe tukutane nao kwenye uchaguzi waone moto wetu. 😆Ninasikia mama ametishiwa kura ya kutakua na imani kama watu fulani hawata teuliwa.
Kama wewe ilivyokua unabisha kwamba Tundu lazima awe rais na salum makamu wakeUlibisha bisha sana juu ya kifo cha huyo mtu jiwe na sasa unabisha kingine tena
Hii ndio team ni namba 1,2 au 3?Team imeanza kupanga safu ya 2025
Safi sana tumeshawachokaHamna kitu wanaweza mfanya! Tena ngoja amalize msiba awapatie majibu mubashara
Wapo wanafight kurudi. Ngoja tuone type ya VP ambaye Mama ataingizwa king kumchaguaHii CCM ikirudi madarakani,tumekwisha.
Nawahurumia Tembo na hivi wameongezeka idadi.Hiyo ni Mafia Mob, sema sio Mob ya Washamba!!!
Sijawahi kufikiria namna hiyoKama wewe ilivyokua unabisha kwamba Tundu lazima awe rais na salum makamu wake
Hao wakirudi,sitashangaa huyo makamu walomuweka akachukua nafasi ya mama. Maana Wamepata taabu sana kipindi cha Magufuli. Wanataka kurudi kwa speed ya light. Mama Mungu amlinde.Wapo wanafight kurudi. Ngoja tuone type ya VP ambaye Mama ataingizwa king kumchagua
Kwa hiyo wote ni wabishi wa kubet, hamna uhakika mnabishana tu.Kama wewe ilivyokua unabisha kwamba Tundu lazima awe rais na salum makamu wake
Hao wakirudi,sitashangaa huyo makamu walomuweka akachukua nafasi ya mama. Maana Wamepata taabu sana kipindi cha Magufuli. Wanataka kurudi kwa speed ya light. Mama Mungu amlinde.
Hii ndio CCM yetu ya watoto wa mjini.Hao wakirudi,sitashangaa huyo makamu walomuweka akachukua nafasi ya mama. Maana Wamepata taabu sana kipindi cha Magufuli. Wanataka kurudi kwa speed ya light. Mama Mungu amlinde.