Drc ni raia Gani anaandamana na anapigwa risasi Tena akiwa ameshika bendera ya taifa Hilo?DR Congo wanakufa watu kila siku wala sio ndani ya siku 3 pekee.
Somalia imepata amani ndani ya miaka hii mitatu, kabla ya hapo kuanzia mwaka 1991 watu wamepigwa sana risasi, serikali zilikuwa za mitaa.
Kutoka Pale mtaa wa Congo mpaka ilala soko la mitumba kuna serikali yake, kutoka Ilala mpaka Sharif Shamba kuna serikali nyingine tena, mwenye silaha nyingi anayejua kuzitumia akapata kila alichokitaka.
Ukishawekwa kwenye kundi la uhaini huwezi kushindana na serikali ukaishinda, wanaharakati wanapaswa kutambua kwa kina ukweli huo.Dec ni raia Gani anaandamana na anapigwa risasi Tena akiwa ameshika bendera ya taifa Hilo?
Kwahiyo tunahitimisha kwamba wanaokufa Kila siku huko DRC ni tofauti na WA huku tanganyika kwakuwa kule wameshika silaha na kundi lao linajulikana na sio kwamba wana andamana kama ilivyo kuwa huku?Ukishawekwa kwenye kundi la uhaini huwezi kushindana na serikali ukaishinda, wanaharakati wanapaswa kutambua kwa kina ukweli huo.
Hitimisho huenda sambamba na mazingira ya watu kule kuuana kila kukicha wakati huku vijana wamegundua mapema sana kwamba vita vinaleta umaskini unaodumu miaka na miaka.Kwahiyo tunahitimisha kwamba wanaokufa Kila siku huko DRC ni tofauti na WA huku tanganyika kwakuwa kule wameshika silaha na kundi lao linajulikana na sio kwamba wana andamana kama ilivyo kuwa huku?
Naona una ambaambaa, haya poteaMazee lete hoja zilizopo mezani usiwe na dharau wakati kwangu wewe ni masikini kwa kila kitu iwe Elimu au kipato...
Masikini pole sana, hata kugugo hujuiHiyo ICC ni mahakama ambayo ipo chini ya UN makao yake makuu yapo The Hague wengi hamjui hilo unadhani the Hague ilianza yenyewe na hapo pana ICJ ndio wanasimamia hili jambo likiwa chini ya ICC ICJ ina majaji 15..
Daah!!Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Sasa huyo kule UVCCM Zenj huyo ndio mwenye akili.Kazi ipo aisee ushawahi kusikia ICJ wajumbe wake wamekataliwa visa ya Nchi yeyote ile kwanza unajua status ya Passport ya wafanyakazi wa ICJ?..hivi ni kweli Watanzania wamefikia kiwango hiki cha uwezo zero wa kufikiri aisee...
Ukiwa mlokole sana hata akili zinapotea unapata kitu inaiitwa brain foghivi communist maduro alichukuliwa kwa pingu kwa ruhusa ya nani? ...
Mungu wabariki WazunguMahakama ya kisheria ya Kimataifa inayohusika kusikiliza na kutoa hukumu kwa kesi za jinai ICC, kupitia Baraza la Wanasheria wake limeviambia vyombo vya habari kuwa litafika Tanzania kuanza uchunguzi na kukusanya ushahidi wa matukio yote muhimu yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29/10/2025.
View attachment 3545861
nyumbu ni wa kuwaoenea hurumaDaah!!
Chawa mna kauli za kishujaa Sana kuliko wahusika wa kesi.
Uzuri sasa hivi wahusika wa mauwaji wanajua huu msala mkubwa wanajizuia matamko ya mihemko.
Angalia kilaza mwingine huyuSasa huyo kule UVCCM Zenj huyo ndio mwenye akili.
kwani kwenye muktadha huo nani yupo sahihi hapo mkuu? au na wewe umeunga tu tela?Sasa huyo kule UVCCM Zenj huyo ndio mwenye akili.
Naona umeenda kuedit upupu ulioleta kwanza?Kazi ipo aisee ushawahi kusikia ICJ wajumbe wake wamekataliwa visa ya Nchi yeyote ile kwanza unajua status ya Passport ya wafanyakazi wa ICJ?..hivi ni kweli Watanzania wamefikia kiwango hiki cha uwezo zero wa kufikiri aisee...
Ukiwa mlokole sana hata akili zinapotea unapata kitu inaiitwa brain fog
usijipe matumaini hewa kuwa trump atakuja kumchukua Samia
Hiki ndio sababu ya maduro kunyakuliwa, huku kwetu ni baa la njaa
View attachment 3546122
Na jamvi la habar ne?Mwanahamisi hilo kwa Uongo balaa
Wale hawapangiwi mtu wa kuonana naye!Wanakuja kuonana na nani, hao wauaji pekee, au hata waliodhurika?
Kazi ya hawa jamaa sina mategemeo nayo sana. Wamejivutavuta mno, kama wanashughulikia kesi ya wizi wa kuku!
Wakitaka kuonana na Tundu Lissu, wataruhusiwa?
Samia ni mhalifu. Ni lazima awajibishwe kwa uhahalifu wake huo; hakuna namna nyingine.Kanywe dawa zako ulale mkuu Kalamu, ili uote ujinga mwingine.
Waovu wakiweka ngumu itakuwaje?Wale hawapangiwi mtu wa kuonana naye!
Hatua kama hiyo haiwezi kusaidia sana kwenye karne hii ya ishirini na moja, kwasababu upo uwezekano mkubwa wa kukusanya ushahidi remotely. Besides, implication ya kufanya hivyo ni kwamba they have something to hide. Watakuwa wanakaribisha further diplomatic pressure!Waovu wakiweka ngumu itakuwaje?
Kwa mfano wakiwakatalia kuja nchini, itakuwaje? Hawa sasa hawana la kupoteza tena!