Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,413
- 6,024
Yale yalikuwa mazingira ya machafuko, mazingira ya mapinduzi. Kwetu ilikuwa kitu kigeni kabisa lakini huko Somalia, DRC na Yemen hali za namna ile ni kawaida kabisa.Kama nyinyi ndio watetezi wenyewe kazi ipo. Kwahio walifuatwa majumbani na kupigwa risasi za vichwa kwasababu walichoma moto vituo vya mafuta?! Hivi huwa mnatafakari kabla ya kuandika? Kwahio mhalifu ukimfuata nyumbani unampiga risasi ya kichwa?
Hakuna kitu mkuu, hilo gazeti linawauzieni taharuki ili liweze kuuza nakala nyingi toleo la leo.Hilo umeshajibiwa siku nyingi leta jipya.
Tume ya Chande inabidi ifanye kazi na tume ya ICC ndio sababu ya kuundwa kwa tume hiyo.Tukiwaambia nyie huwa mnakanusha msichokijua au hujifanya hamnazo.
The Fact is, tayari kesi imeshafunguliwa na makampuni mbalimbali ya uwakili duniani.
[*]World Jurists Association
[*]Madrid Bar Association
[*]IntelWatch
[*]Mawakili wa waathiriwa.
Bring your facts acheni mapenzi ya mtu.
ICC ni nani?, mbona tunajazana uoga vichwani mwetu?.Steven,
Lugha yako kwa hapo ulipoandika ni ujima sana, yaani primitive. Ungeongea lugha hiyo BC yaani Before Christ, ni sawa kabisa.
Msiangalie vitabu vya dini tu lazima msome na Katiba. Combination of all, then you think critically, huwezi kutawala nchi kama unavyotwala familia yako.
You don’t own anybody!
Kwenye modern world, civilized world lazima uwe na skills siyo unakurupuka tu na kusema at wewe ni mtawala basi uue kama ingekua hivyo dunia sasa hivi ingekua hamna watu.
The difference (main) between man and dog is conscience. Huwezi kuua watu 10k ukawa huna remorse.
ICC wana standard zao, yes lakini hawaangalii upande mmoja hadi mama ntilie watamuuliza kwa uzito uleule.
Ruto na wenzie waliachiwa kwa sababu walionyesha remorse na kukubali hawawezi kurudia. Nyie na huyo Ushungi mko ngangari ati hamkuua, tuliua kidogo, etc
Na Ushungi anacheka na wassira ati tutaua tena. Hivi wewe unafikiri ICC wakisikia haya kuna clemence? Forget
Ujumbe unaweza kuwa hauna ukweli wala mantiki ndani yake.Sisi kazi yetu ni nyepesi sana kuwaletea ujumbe, kazi yenu kubwa mliyonayo ni kukanusha.
Wanatafuta habari ili wauze nakala nyingi za siku husika.Magazeti yanapenda kupita na upepo huwa sipendi kuyaamini hata kidogo.
Kanywe dawa zako ulale mkuu Kalamu, ili uote ujinga mwingine.Sasa wewe hayo ya kwenda ferry umeyaokota wapi, mbona hayajasemwa hapo kwenye hilo bandiko.
Unafikiri unapokuwa Mwanasheria FEKI wa serikali, basi kila kitu ni wewe tu unatakiwa kukijuwa?.
Mkiwazuia kuja hapa, watatangaza uamzi wenu huo na taratibu nyingine zitaendelea.
Wewe umekuwa mpuuzi sana kiasi kwamba damu ya waTanzania mliyoimwaga inawadhuru sasa hivi.
Unatuona sisi ni wa kuja.Mkuu mimi naongea moja kwa moja na wahusika siandiki ushabiki.
Tume ipo kazini, jitahidi kuelewa upana wa kazi zinazofanywa na hiyo tume.
Mlitengeneza document eti Amnesty International imewalipa wanaharakati mlipopelekewa moto mkaikana na kuomba radhi.Ujumbe unaweza kuwa hauna ukweli wala mantiki ndani yake.
Hizi taharuki kazi yenu nyepesi ni kuzitengeneza mnawapa baadhi yetu wanaoziamini.
Hii ya kuua watu elfu 10 ndani ya siku 3 haijawahi kutokea.ICC ni nani?, mbona tunajazana uoga vichwani mwetu?.
Kila siku duniani watu wanapigwa risasi kinyama tu, huwezi kusikia marais wanapelekwa ICC.
la saed kubenea, hilo gazeti kidogo halina uchawa kama la balile. Haya magazeti ya siku hizi si ya kuyaamini sana kwa kuwa yanafuata upepo uvumaoLa Chawa gani hilo gazette?
umesahau na siera leoneYale yalikuwa mazingira ya machafuko, mazingira ya mapinduzi. Kwetu ilikuwa kitu kigeni kabisa lakini huko Somalia, DRC na Yemen hali za namna ile ni kawaida kabisa.
Kunakuwa hakuna sheria kwani nchi imeingie vitani. Wengi wasio na makosa wanapigwa risasi katika siku za namna hiyo.
Waulize wale vilema wa DRC, Liberia na Angola wa miaka ya vita makosa gani waliyafanya mpaka wakastahili ulemavu usio na sababu.
Kwa taarifa yako ukiambiwa mwisho wa kutoka nje ni saa 12 jioni utambue kwamba kinachoendelea huko nje ni hatari tupu kwa uhai wako, zinazoendelea huwa shaba tu.
Hiyo ICC ni mahakama ambayo ipo chini ya UN makao yake makuu yapo The Hague wengi hamjui hilo unadhani the Hague ilianza yenyewe na hapo pana ICJ ndio wanasimamia hili jambo likiwa chini ya ICC ICJ ina majaji 15..Si unaona kumbe ni nyumbu, kilaza unaruka ruka hata hujui unatakakujieleza nini
Sasa kutoka ICC umerukia UN? inahusiana nini
Uliishia darasa la ngapi ?
Mazee lete hoja zilizopo mezani usiwe na dharau wakati kwangu wewe ni masikini kwa kila kitu iwe Elimu au kipato...Si unaona kumbe ni nyumbu, kilaza unaruka ruka hata hujui unatakakujieleza nini
Sasa kutoka ICC umerukia UN? inahusiana nini
Uliishia darasa la ngapi ?
Mnaelimishwa yale msiyoyafahamu.Unatuona sisi ni wa kuja.
DR Congo wanakufa watu kila siku wala sio ndani ya siku 3 pekee.Hii ya kuua watu elfu 10 ndani ya siku 3 haijawahi kutokea.
Mkuu endelea kujipa moyo hakuna kesi yoyote atakayopewa Rais SSH, siku nyingine msirudie tena ujinga ule.Mlitengeneza document eti Amnesty International imewalipa wanaharakati mlipopelekewa moto mkaikana na kuomba radhi.
Msivyo na akili mkatengeneza wakatoliki wa kuchovya sijui mliwapeleka wapi.
Kombo alikutana na huyo jamaa kule Ethiopia wakaongea kuhusiana na ushiriki wa Tanzania kwenye vita ya DRC, wabongo walivyoona picha wakatunga habari kama ilivyo kawaida yao.ukiona matusi ya nguoni yametamalaki badala ya kejeli na mzaha kama ilivyo kawaida yao basi ujue hii habari ina ukweli ndani yake, kwa hali ya kawaida huleta kejeli, ukiunganisha na kombo kukutana na tume ya raisi basi ni kweli kwamba icc watatia timu …