Hatimaye ICC kutua nchini - MwanaHALISI

Nimewaambia kazi yetu ni kuwasogezea habari, kupambana na habari mnapambana nyie lingine hilo kazi kwenu, wapuuzi nyie.

View attachment 3545949
Any person who saves as Military personnel anajua especially frontline there is possibility of taking a bullet so huu nao unakua classified as Umbea kwa mtu ambaye hata hajui jina la Rais? Watu wako frontline ya war zone wasife?
 
Any person who saves as Military personnel anajua especially frontline there is possibility of taking a bullet so huu nao unakua classified as Umbea kwa mtu ambaye hata hajui jina la Rais? Watu wako frontline ya war zone wasife?
Kanusha FC kutokujua jina la rais wa Tanzania kwa raia wa Kongo sio ishu.
 
Mama yako na baba yako we kibaka unakunwa visungura kama Heche na kuanza kutukana hovyo mitandaoni utaweza kuwahudumia watakapoanza kuugua mara miguu, pressure, Ukimwi, kisukari?
Nani ana muda na hizo bima za kipuuzi, peleka machawa wenzako mkapimwe tezi dume mkitumia hizo bima...
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa - watu wamekuja kumchukua MWALI wao..
 
Badala ya kuonesha ulivyo mtupu kichwani, waambie kina Kombo Tanzania ijitowe kwenye ICC kama unaamini Tanzania ina nafasi sawa na Marekani ambao hawamo ICC.
Sidhani kama Tanzania ina mpango wa kujitoa ICC, imempeleka jaji Nangela kugombea ujaji wa ICC wanafikiri huo ndio utakuwa msaada kwa mtuhumiwa Samia.
 
Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Bata kweli wewe, mwambie akatae aone kitakachofuata.. mnatiana ujinga vijiwe vya kahawa siyo..
Kwa hiyo Netanyahu akigoma ni sawa na mama yenu agomee eee.

Kashayavagaa mabichi.
 
Magazeti yanapenda kupita na upepo huwa sipendi kuyaamini hata kidogo.
Kwa hiyo habari hata gazeti lingetoka mbinguni usingependa wala kuliamini. #karmaisabitch
 
Kwani kuna mahali nimetaja kuwa wale walikuwa waandamanaji? Hebu soma tena siyo kuweka majibu ya kukariri
 
Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Ubavu wa kukataa kutoa VISA wanao! Naona huko chini kunapwita!
 
Rubbish!! Sasa hao askari wa peacekeeping kwani wako chini ya Tz? Mbona huyu malaya anaropoka hovyo
Matusi hayasaidii kujenga hoja bali yanaonyesha who you are.
 
Matusi hayasaidii kujenga hoja bali yanaonyesha tabia yako zaidi.
Sijatukana ila nimesema hiyo clip ni takataka. Kama siyo takataka niambie wewe inahusiana vipi na mada ya uzi huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…