Financial Intelligence
Senior Member
- Sep 29, 2023
- 149
- 267
Bi Ruth Zaipuna anachapa kazi sanaHii bank imepata kiongozi mzuri ndio maana inafanya maajabu Kila siku,
Hongera sana NMB chama langu
Nadhani ni Uongozi madhubuti wa Zaipuna, Nilijua mnamsifia uchawa tu kumbe Yuko na mikakati ya kufaa sana===
Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki leo baada ya Hati fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400 ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya lengo lililokusudiwa ambapo ni Tsh Bilioni 212.9...
😆😆😆 Nimecheka kwa sauti yule mjomba na award za michongoKwani yule CEO mwenye ushawishi zaidi Africa anasemaje?
Huyu Mama angepewa tu na CRDB, NBC pamoja na TCB aziongoze maana naona wale Viongozi wanzungusha tu sketi
View: https://youtu.be/OA0imBYK3OQ?si=6037TuceZOK5OGHL===
Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki leo baada ya Hati fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400 ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya lengo lililokusudiwa ambapo ni Tsh Bilioni 212.9 kwa fungu la shilingi za kitanzania na dola za kimarekani milioni 73 kwa fungu la dola.
Matokeo haya yametangazwa rasmi wakati wa hafla ya kuiorodhesha Hati Fungani ya NMB Jamii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) mapema leo ambapo fedha zote zilizopatikana kupitia Hati Fungani ya Jamii zitaelekezwa katika kutoa mikopo nafuu kwenye miradi endelevu ikiwemo miradi ya nishati mbadala, miradi ya kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa mazingira, miradi ya maji, miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, miradi ya wanawake, vijana, elimu, afya, nyumba nafuu na mingine inayoendana na hiyo.
NMB Jamii Bond ilizinduliwa na kuanza kuuzwa Septemba 25 hadi Oktoba 27 mwaka huu ambapo Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna akizungumza leo amesema NMB Jamii Bond ilikuwa imegawanyika katika mafungu mawili, fungu la kwanza likihusisha shilingi za kitanzania na fungu la pili la dola za kimarekani ambako kote wamevuka lengo la makusanyo kwa kupata shilingi bilioni 212.9 kutoka bilioni 100 za lengo na upande wa dola wakikusanya milioni 73 badala ya milioni 15 walizolenga.
“Kwa mantiki hiyo, thamani ya jumla ya fedha zilizopatikana kutokana na NMB Jamii Bond ni Sh. Bilioni 400, ambazo ni mara tatu zaidi ya lengo tulilokuwa nalo” amebainisha Ruth Zaipuna huku akiwahakikishia Wateja zaidi ya 5,600 walionunua Hati Fungani hizo kuwa pesa zao ziko mikono salama.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye alikuwa Mgeni rasmi wa hafla hiyo aliipongeza NMB kwa kuweka rekodi ya bilioni 400 za mauzo ya Hati Fungani hiyo “Hati Fungani ni fursa muhimu kwa jamii kunufaika kwa njia mbili za kuweka akiba lakini pia kufanya uwekezaji wenye faida kubwa, bond ni mkopo ambao Taasisi ya fedha inakopa kwa Wananchi, NMB ingeweza kwenda kukopa BoT au Benki za nje lakini ikachagua kukopa kwa Wananchi kupitia mdhamana wao ambaye ni CMSA na inarejesha kwa riba kubwa ya asilimia 9.5”
Kuna nini huko?Ngoja tuone walioweka hela huko kama yaliyomo yamo kweli!
Kule kwenye Fixed NMB ni kichefuchefu.
Aiseee,

Anafanya vizuri sana huyu mamaBi Ruth Zaipuna anachapa kazi sana

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye alikuwa Mgeni rasmi wa hafla hiyo aliipongeza NMB kwa kuweka rekodi ya bilioni 400 za mauzo ya Hati Fungani hiyo “Hati Fungani ni fursa muhimu kwa jamii kunufaika kwa njia mbili za kuweka akiba lakini pia kufanya uwekezaji wenye faida kubwa, bond ni mkopo ambao Taasisi ya fedha inakopa kwa Wananchi, NMB ingeweza kwenda kukopa BoT au Benki za nje lakini ikachagua kukopa kwa Wananchi kupitia mdhamana wao ambaye ni CMSA na inarejesha kwa riba kubwa ya asilimia 9.5
😍😍🙏🏿Hii bank imepata kiongozi mzuri ndio maana inafanya maajabu Kila siku,
Hongera sana NMB chama langu
😍😍🙏🏿Bank hii inariba kiduchu snaa pengine ndio maana inatamba sana hapa Africa mash
Yes NMB iko kwenye uelekeo sahihi 😍😍🙏🏿Aiseee,
Hongera NMB team,
Niseme tu ni kweli kwamba bank ya NMB iko katika uelekeo sahihi sana,
Kama Serikali itasimama na Benki hizi za Biashara uchumi wa Watu na vitu unaweza ukakua kwa kasi sana ndani ya muda mfupi sana,
Matumaini yetu Benki nyingine pia watafanya zaidi ya hili,
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki CEO wa NMB,
Mtampoteza sasa, why kila mtu aki perform lazima aingie siasa? Kimei is underperforming licha ya kushine CRDB..... huyu abaki huku huku ikiwezekana apelekwe BOT au CMSA sio political post.HUYU DADA NADHANI NI MTU SAHIHI SANA KWENYE MAMBO YA FEDHA APEWE MAUA YAKE
Zitto hata Mimi nakubaliana na wewe Kimei amedoda sana aisee,Mtampoteza sasa, why kila mtu aki perform lazima aingie siasa? Kimei is underperforming licha ya kushine CRDB..... huyu abaki huku huku ikiwezekana apelekwe BOT au CMSA sio political post.