Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
umelikoroga lazima ulinywe na ukileta za kuleta kusutwa tu ndio dawa muulize mwenzako yaliomkuta mpaka akahama mtaa
 
Bora sijatajwa naendelea na libeneke langu hapa
My wife wangu Yummy uko wapi njoo hutu tule raha

Mr Rocky nilidhani wewe sio macho juujuu kumbe umo lol
Naona tena umeanza na small house yangu ya zamani kabla Amyner hajanipa probation ooh
Look very ntakupa ban wewe na Yummy hadi tuwasahau
We endelea tu na kuanzia sasa naanza kumonitor PM zako na Yummy
 
Last edited by a moderator:

Najua Madame B ila pigeni umbea kiasi lol
Sasa hivi niko nacheck Pm zenu tu
hahaha itakayonivunja mbavu naiweka laivu

Mbona sasa unataka kwenda ndivyo sivyo?
Utatupiaje Pm zetu bhana?
We Chalii vp?
Ila u-Mods ukiupata,wallah tutapigwa Mi-Ban hinhaa!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona sasa unataka kwenda ndivyo sivyo?
Utatupiaje Pm zetu bhana?
We Chalii vp?
Ila u-Mods ukiupata,wallah tutapigwa Mi-Ban hinhaa!!
Ukinipa hongo mbona mi sina noma
Ila nione mi umenipiga doro halafu nanii yuko na raha...walah ban ya mwaka inakuhusu lol
 
:happy: imaginations ni tofauti na kujuana kama nyie hapa...kuna watu mpaka washakutana...mi sijawahi kutana na any of JF members. inabidi kue na house party flani, tatizo ni kua sex engine is soo high inabidi tukutafutie LUKU
mtotowamjini naweza kuji control. dawa nizungukwe na wavulana tu sio wanaume.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nilidhani wewe sio macho juujuu kumbe umo lol
Naona tena umeanza na small house yangu ya zamani kabla Amyner hajanipa probation ooh
Look very ntakupa ban wewe na Yummy hadi tuwasahau
We endelea tu na kuanzia sasa naanza kumonitor PM zako na Yummy

Mr Rocky nilidhani wewe sio macho juujuu kumbe umo lol
Naona tena umeanza na small house yangu ya zamani kabla Amyner hajanipa probation ooh
Look very ntakupa ban wewe na Yummy hadi tuwasahau
We endelea tu na kuanzia sasa naanza kumonitor PM zako na Yummy

naona umerudia mara mbili kwa msisitizo
Yummy hebu kuja pande hizi umuangalie huyu mtu anataka kuharibu ndoa yetu kisa eti yeye kawa mod anataka kila mwanamke awe wake
Cute mamyyy hebu nipe busu basi Erickb52 apate wivu ajinyonge kwa bigjee
Sweetlady mzima wewe
Shikamooo
 
ila ban nyingi chanzo ni user wenyewe
Mfano msipoingia anga zangu hatutagombana ila Meritta nikulikusikia unamwambia Amyner eti umeniona na cacico town lazma niwalambe ban wote

Erickb52
baba yashakuwa hayo ndo maana nilisema itakuwa tabu maana izzo habar mbona za zamani sana we unakumbushia leo ee we nawe
 
naona umerudia mara mbili kwa msisitizo
Yummy hebu kuja pande hizi umuangalie huyu mtu anataka kuharibu ndoa yetu kisa eti yeye kawa mod anataka kila mwanamke awe wake
Cute mamyyy hebu nipe busu basi Erickb52 apate wivu ajinyonge kwa bigjee
Sweetlady mzima wewe
Shikamooo

Mr Rocky sina wivu coz nguvu ya dola ninayo mimi
we ngoja tu nakuweka kiporo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom