Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

New Mod!
Mzee Shkamoo, mzee nisamehe kama utaona nimeandika abuse language!
Usinifute Jeiefu mzee!
Narudia mzee shkamoo kwa wa nyumbani kwako wote, hata beki3 wako nae shkamoo!
Usinipige ban.
 
Marhabaaa
We Judgement ndi ndugu yangu sina hiyana nawe so usijali
 
Last edited by a moderator:
New Mod!
Mzee Shkamoo, mzee nisamehe kama utaona nimeandika abuse language!
Usinifute Jeiefu mzee!
Narudia mzee shkamoo kwa wa nyumbani kwako wote, hata beki3 wako nae shkamoo!
Usinipige ban.

Umeanza lin tabia yakuamkia wanaume wenzio?hun hakuna ban hapa
 
Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat

Mtoto wakike kusutwa sunna babu wee
 
Last edited by a moderator:
Umemuabisha kakaako 52 this is abobination haiwezekan halaf waomba hongera
Hee kwani nimemwomba?
Tena shem usibishane na mimi ooh ntakutoa mfano mi ndo boss wenu humu
Hahaha inakulaje kwenu...
Hapa namngoja Bishanga aje nimpe za uso
 
Last edited by a moderator:
Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat

umenionea mbona mie majungu sina namchana mtu live.halafu huwa sina habari na wame za watu mi huwa na deal na mabachela tu huwa sipendi kugombea waume
 
Last edited by a moderator:
umenionea mbona mie majungu sina namchana mtu live.halafu huwa sina habari na wame za watu mi huwa na deal na mabachela tu huwa sipendi kugombea waume
Hahahahaa ila ukinichana mimi live inakula kwako siunajua police yangu...mahakama yangu na dola zote zangu
Acha mchezo lol
 
Hahahahaa charminglady ukijaribu tu kuitisha ngoma utakula life ban uje na jina jingine la CharmingWoman ooh shauri yako

aaah,kumbe natishiwa ban? nkipigwa bana naja na username nyingne. may be ungenitishia cwez pata jf enimo! hahaa
 
Last edited by a moderator:
Wee Mod, hebu nifungulieni Jukwaa la Wakubwa Haraka sana.. Tangu jana silioni.
Isijekuwa huto tupicha tumewadanganya mkafikiri mimi ni anda eji... Ebo!!

nilijua peke yangu....

Hivi TANMO mpaka nikuandikie love letter nimpe Erickb52 akuletee ndo ujue jinsi gani unaunyanyapaa moyo wangu......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom