Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Mie nipige ban tu, naona muda wangu mwingi naupoteza huku, nashindwa hadi kumpa chakula cha usiku mume wangu, hamu ya nonino na mume wangu imeniisha muda wote namwaza Erickb52 tu.
Mtoto akililia wembe.....
 
Hivi ndo gear uliyoona inafaa kuwapata mademu kupitia chit chat,you can excuse Baba V,amenambia anatumikia ban ya mwezi mmoja!

Hehehe Pombekali mi ninao wengi sn hapa nataka kuwapunguza kwa ban
Baba V apumzike salama..akirudi namtwanga ban nyingine ya bonus
 
Last edited by a moderator:
huyo aliekupa umods wewe amekosea kutazama kabisa au amekosea hebu aangalie vizuri teh teh teh:mod::mod::mod::party:

Asnam ndo nshapewa we jiandae kutumikia kauli zako
 
Last edited by a moderator:
Unatamba kwa u mod wa chit chat? mie leo nimesaini contract na Mike Mckee ya mpunga mrefu.

mie ndio nitakuwa na run jf an kuamua nani awe mod. jukumu la kwanza cancellation ya

wewe Erickb52 kuwa mod hadi uweze kuniunganisha kwa Cool Gentleman.

jamaa mtata sana yule kunikubali.
 
Last edited by a moderator:
Unatamba kwa u mod wa chit chat? mie leo nimesaini contract na Mike Mckee ya mpunga mrefu.

mie ndio nitakuwa na run jf an kuamua nani awe mod. jukumu la kwanza cancellation ya

wewe Erickb52 kuwa mod hadi uweze kuniunganisha kwa Cool Gentleman.

jamaa mtata sana yule kunikubali.

Erotica huyo unayemtaka mbona mchovu?
Mi kwa umod wangu nacheza na Pm tu sina
jipya
 
Last edited by a moderator:
so..tukikumbania tunapata nini??privilages zozote??
There is a million things i have always wished to say but am not a fan of bans..so-what do you have to offer??mkono mtupu haulambwi ujue..
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom