Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
- Thread starter
- #121
[/QUOTE FJM, kama nitakuwa nimemuelewa vema Rutashubanyuma, nadhani hoja si kuwa Dr Slaa ni mwanachama wa CCM au la. Hoja ni Dr Slaa kukubali kuingizwa kwenye mjadala wa kipuuzi na Nape. Kama kuna mtu atakuwa anaamini kuwa Dr Slaa bado ni mwanachama wa CCM, basi huyo atakuwa na aina nyingine ya matatizo
hiyo ndiyo hoja ya leo..............................kesho nitamwongelea Sinde Warioba na tume yake babaishi.................keep on reading this space..........JS