Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

Mentali Wewe utakuwa umetumwa na Mbowe
 
Last edited by a moderator:
MTAZAMO Dr. Slaa anatupa wakati mgumu kuamini kuwa anayo hekima ya kawaida kabisa ambayo ingemtaka arudishe kadi ya CCM kama yeye anavopokea kadi za CCM toka kwa wanachama walioasi CCM. Utasemaje unaichukia CCM ila uanipenda card yake? It is indeed strange, kwa sababu Slaa anatakiwa ajue kuwa anadeal na Watanzania wa kawaida tu ambao wanaamini kuwa ukiwa na card ya chama fulani basi wewe ni mwanachama wake. So Nape has won a political round and it is time for Slaa kurekebisha mambo aliyoharibu. Na pia aache kuropoka ovyo
 
Last edited by a moderator:
[video=youtube_share;r22-nn7wxdo]http://youtu.be/r22-nn7wxdo[/video]
 
Naona safari kweli imeiva, imekuwa kama ngoma ya mdundiko. Inabeba wengi kufuata ngoma lakini ikisimama na bebdera kuwekwa chini na ngoma kugeuka kuwa vanga, hapo ndio utakapowaona wachezaji halisi. Sasa tunaaanza kupamabua baina ya wasindikizaji na wachezaji!
 
Ndiyo slaa ni active member na analipia ada zote za wamachama huko anazuga tuuu kwa ushahidi njooni mjengoni mpewe data zote.na c slaa tu lipumba,hamad,zito,mbowe wote ni wanaccm

Hii imekaa vizuri sana.
 
Dr. Slaa anatupa wakati mgumu kuamini kuwa anayo hekima ya kawaida kabisa ambayo ingemtaka arudishe kadi ya CCM kama yeye anavopokea kadi za CCM toka kwa wanachama walioasi CCM. Utasemaje unaichukia CCM ila uanipenda card yake? It is indeed strange, kwa sababu Slaa anatakiwa ajue kuwa anadeal na Watanzania wa kawaida tu ambao wanaamini kuwa ukiwa na card ya chama fulani basi wewe ni mwanachama wake. So Nape has won a political round and it is time for Slaa kurekebisha mambo aliyoharibu. Na pia aache kuropoka ovyo
Kwa mtu anayependa kupigiwa makofi na wapumbavu kama Nape na wewe mkuu, huo mnauona ni ushindi wa kisiasa. Lakini kwa wenye akili wanaona msingi wa uongo, na upotoshaji.

Wenye akili wanajiuliza maswali kama haya:

Sheria gani inayodai mtu arudishe kadi? Tunaomba reference.

Wapi katika katiba ya CCM imesemwa kuhusu kurudisha kadi?

Hivyo viwango vya hekima kwa kurudisha kadi ni vya wapi, nani kaviweka na lini?

Kitu kilicho wazi na cha msingi ni hiki:

Katiba ya CCM inasema kuwa:

Uanachama utakwisha kwa:
(a) Kufariki.
(b) Kujiuzulu mwenyewe.
(c) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f) Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote
aliyoitoa.


Nyakati zimebadilika, na wanasiasa wanapaswa waende na wakati. Tunangoja kusikia namna ambavyo mtashughulikia ajira, bei za mazao yetu, shule zetu za kata zipate walimu, hospitali zetu ziwe na viwango bora mpaka akina Nape wenyewe watibiwe hapa n.k. badala yake tunasikia porojo za kitoto tu!!!
 
Comrade!

CCM hawana utamaduni wa kufocus kwenye issues! Hata kwenye mikutanao yao wao ni maigizo kwenda mbele. Kenya leo hii watu wanapanga alliances ili za vyama vilivyoanzishwa a few months ago, Tanzania, wanaojiita viongozi wa Taifa wako busy na vijikaratasi (manila cards) ambavyo tofauti yake ni Rangi. Lakini ndiyo upeo wa waTawala wetu. Sasa hivi lengo la CCM ni kuondoa mawazo yetu kwenye kashfa lukuki zinazaowakabili, Police Trainees hewa, Mabilioni ya Swiss, kushindwa Rasmi kumvua Lowassa & Co Gamba ndani ya siku 90, kama hamuamini muinukuu siku ya leo, baada ya mwezi sita, Mangula, na Kinono(aka) Kinana watakanusha kuwa hawakuwahi kusema wataondoa rushwa ndani ya CCM ndani ya miezi sita, Subiri bunge likianaza utasikia kuondoa matumizi ya neno Mheshimiwa lilikuwa pendekezo tuu linasubiri sekritarieti kujadiliwa. However, its true that "Empty Vessels make the most noise" VuvuzelaZ( Nape , La Mutuz, & ans Online Magambas" not only make the most noise, but tuneless noise.
Magamba wasijivunge wao waanze tu kampeni kwani mgombea wao ashajulikana na kaanza kampeni makanisani kurudisha alizoiba na kama alivyishauriwa na Nabi wake Mnigeria. Interesting(Imagine Rais anaenda Ziara Nigeria, then anapitia kwa Nabi kupata moralcounsel " . Shida Tunayo si kidogo.
 
Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM, how does it solve our problems?

Inasaidia vipi kukuza uchumi? Kuimairisha elimu?

Tuna matatizo makubwa sana. Anapanda mwanasiasa, mwenye cheo kikubwa tu, na kuzungumza huu upuuzi katika shida hizi tulizonazo na bado anasikilizwa.

Hii inasaidia vipi kupunguza umaskini? Tuna matatizo makubwa sana na ujinga uliotukuka.

Watu kibao wanakufa kwa kukosa huduma bora ya afya, huyu mwehu anapanda na kusema "Dr Slaa ana kadi ya CCM". So fcuking what? Adui yako ni Dr Slaa au umaskini na hali duni inayotuzunguka? Bado anasikilizwa na kupigiwa makofi.

Itokee tu gharika ituue wote, watu wengine waje hapa waanza upya. Huu upuuzi hauvumiliki. Cha ajabu kichwa maji huyu anapigiwa makofi. Mimi ningekua na uwezo ningetandika risasi wote hao, hawana msaada katika maendeleo ya nchi na specie hii ya binadamu kwa ujumla.

When will we start focusing on issues such as corruption? Health care? Economy? Foreign policy? Population growth? National Security and such..

Yani mwanasiasa anapanda jukwaani (vyama vyote) anaanza kuongea issues ambazo hazina uhusiano wowote na umaskini tulionao na kwa amani kabisa anashuka chini kifua mbele.

Hapa kila wiki tuwe tunaeka thread ya serious issues discussed in these rallies utashangaa hazizidi hata 5. Hii nchi haitakaa ibadilike. Kiwango cha ujinga ni cha hali ya juu sana na hawa ndiyo viongozi wetu. True reflection of their voters.
 
nimeipitia kadi yangu ya ccm,haisemi ukiacha uanachama unatakiwa uirudishe kadi kokote.kwa hiyo si lazima kuirudisha
 
tunajadili kadi ya uanachama wa mtu, kuwa ndiyo uzalendo, hapana tusifikie hapo, uzalendo wa Mtanzania ni Tanzania kwanza, na SLAA haichukii CCM, anachukia matendo maovu yanayofanywa na viongozi wa serikali, hivyo kuwa na kadi au krudisha kadi ni masuala madogo mno, yasiyotakiwa kuongelewa na viongozi wakubwa wa ngazi yao, muhimu tutazame taifa letu, lina kabiliwa na matatizo gani? na jinsi ya kuyatatua kwa kushirikiana watanzania wote siasa si uadui hata Nape nenda kakate kadi ya chama chochote na ringam nayo
 
Thanks brother Ruta, interesting perspectives from contributors, but then, lets not forget the Tanzanian youths looking for an income, from selling water to customer service at local telecom companies. There hundreds of orphan. the impact of HIV AIDS. We have to seek policies that will provide employment to the villagers and urban kids. Kikwete came up with Kilimo Kwanza initiative three years ago. for those who were following him, that has been long enough to build a business model to fit the initiative which is connected to MDG. I am talking about a relationship a govenment policy. Kilimo Kwanza is a Govenment policy for this President. What kind of Policy would another govenment has, in the question of Poverty alleviation. how about our business regulation and tax structure, how do they stem business growth.
 
tungoje 2015 tutajua ni wanachama au laa! Hata ukimweleza mtoto mdogo ya kuwa slaa ni mwanachama wa ccm asilani hawezi kukuelewe,kwa matendo atendayo juu ya kupigania haki za walalahoi,magamba utawatambua kwa kuwatazama mfumo na mwenendo wa maisha yao.
 
Rutashubanyuma hatimaye Dr. Slaa amekutoa kuzimu.
Hoja yako ya kutopinga matokeo mahakamani tulishaijadili sana hapa JF na ikafa natural death since then.
Kwa muda mrefu ulikuwa kuzimu lakini leo Dr. Slaa kakufufua! Huna hoja bora uendelee na ID yako mpya angalau inakujengea heshima.
 
Last edited by a moderator:
Nape moyo wakuuma. Huko haji tena.Hata mimi ninayo lakini huko kwa wezi wa meno ya tembo siji.
 
Mimi nin KADI YA CCM sijailipia MIAKA nenda rudi Niliipata JKT,,, Sijui kama NAPE anajua hayo HAJUI JKT IKOJE
 
kama bado ni mwanachama wenu inaajagani kupiga kelele? na kama bado anaipenda CCM basi anayoyafanya ni ya kinafiki kwa cdm na atakuwa anafanya yote kulinda chama anachokipenda ccm. je? inaaja gani kumkosowa mtu mnadhani anafanya kazi yenu kwa sababu atahathiri chama anachokipenda. hahaha CCM na Nape wao mnawadanganya nani........atakaye amini uongo huu analake jambo
 
Back
Top Bottom