Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

[FONT=century
gothic]Mimi nin KADI YA CCM sijailipia MIAKA nenda rudi Niliipata
JKT,,, Sijui kama NAPE anajua hayo HAJUI JKT
IKOJE[/FONT]

usiwe na wasiwasi unaweza kuilipia baada ya kulipa fine kidogo
 
CCM wanavyopenda mapingamizi , wangekubali Dr Slaa agombee Ubunge CDM ? au wangekubali kuhenyeshwa kwenye ile topic nzito ya ufisadi ? Propaganda zingine itabidi tuangalie kama kuna haja ya kuchangia , unaweza kuwa kama " wao " bure !
 
Huyu Nappe anatutoa kwenye hoja za msingi na kuanza kujadili pumba zake.. Kwa hili kama mwanapropaganda anastahili sifa kwa chama chake..!
 
Rutashubanyuma,

..kitu cha msingi cha kuangalia ni mchango wa Dr.Slaa ktk harakati za CDM kuleta ukombozi kwa wa-Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
:target:FANYENI MFANYAVYO ILA EDWARD NGONYAI LOWASSA IS OUR NEXT PRESIDENT OF TANZANIA .......................................................
 
Nape ni kijana ambaye mara nyingi kama siyo zote huwa mropokaji na hana khoja ya tija ni mtazamo ambao ni sahihi kabisa.

Nape alipodai viongozi wengi wa cdm wana kadi za ccm na huzilipia michango ya kila mwaka kimyakimya ungelitegemea cdm aidha kumpuuzilia mbali au kumpa mojawapo ya majibu yafuatayo:-

a) ccm wamekuwa mstari wa mbele kupokea kadi za wanachama wa upinzani ambao wameamua kujiunga na ccm badala ya kuzirudisha kwenye vyama husika kama kadi tajwa zinavyoweka bayana juu umiliki wa kadi husika. Kwa hiyo ccm kutarajia viongozi wa cdm kuzirudisha kadi za ccm kwa ccm ni unafiki. ccm ionyeshe njia kwa kurudisha kadi zote tajwa za vyama vya upinzani walizokabidhiwa khalafu ndiyo ije na maswali ya kuulizia kadi zao zilizoko upinzani.

b) Kama Nape anao ushahidi wa hilo angeliripoti kwa msajili wa vyama vya siasa kwa sababu ni makosa ya jinai kuwa mwanachama wa chama cha siasa zaidi ya kimoja.

c) Nape atoe ushahidi kwa tuhuma zake juu ya malipo ya michango husika kabla hajajibiwa.

Kwa kuchelea kutoa majibu tajwa na kukiri ana kadi ya ccm na kuwa anaienzi kikamilifu, Dr. Slaa kaingizwa "kingi" na Mpayukaji Nape kwenye nyanja zifuatazo:-

i) Je Dr. Slaa anaweza kuienzi kadi ya ccm kwa kuwa mwanachama mfu au kwa kuwa mwanachama hai kwa maana ya kulipia michango husika kila mwaka?

ii) Je kwa kuienzi kadi ya ccm ambayo ni mali ya ccm huku kila nafasi ikijitokeza Dr. Slaa hupokea kadi za ccm kutoka kwa wanachama wapya wa cdm ambao wanatoka ccm haoni yeye ni mnafiki? Dr. Slaa kadi yake kumbe kaibana lakini za ccm anapokea badala ya kuwaasa nao wazienzi au hata basi kubaini masilahi ya muda mrefu aliyonayo juu ya kadi husika........... badala ya kuzipokea kadi za ccm huku yeye binafsi ana masilahi mazito ya kuienzi kadi tajwa tena kimya kimya.

iii) Kwa kukiri kadi anayo na kuwa anaienzi anaonyesha jinsi ambavyo alivyo ndumila kuwili na kutia mashaka makubwa kama yeye siyo askari mamluki ndani ya cdm ambayo ccm humtumia kuidhoofisha badala ya kuimarisha. Mfano hai ni pale ambapo alidai ana ushahidi JK kaiba kura zake na hakupaswa kutangazwa Raisi lakini hadi leo kabana kimya na huo ushahidi (Kama kweli upo au kauli ya asiyekubali kushindwa) kama siyo kula sahani moja na mahasimu wake kisiasa ni nini?

iv) Kitendo cha kuwa na kadi ya chama ambacho Dr. Slaa siyo mwanachama kinakiuka masharti yote ya kadi hiyo sasa kama haheshimu masharti husika hivi sheria zetu kweli angelizithamini kama angelishinda uraisi?

v) Upeo wa Dr. Slaa nao unatia mashaka sana kama mitazamo hii haikumpitia kichwani kwake kabla hajatoa majibu husika na kutathmini athari zake.

Kweli upinzani tz ni kulitumika tumbo; kama ilivyo ccm, na ndiyo maana Dr. Slaa kabla hajakubali kugombea uraisi alihakikisha cdm inaingia mkataba naye kumlipa sawa na mbunge nafasi ambayo hatakuwa nayo kwa miaka mitano (2010-15) na hivyo kuleta upendeleo usiyo wa lazima ndani ya waajiriwa ndani ya cdm....Kumbuka "Some animals are equal but others are more equal than others"............Orwellian principle

mmeona hamna hoja za msingi sasa mnaleta mambo ya kipuuzi,tuelezeni serikali ya ccm inafanya nini kwa mtanzania katika kuboresha maisha yake badala ya huu ujinga.Nape aseme alirudisha lini kadi ya ccj.
 
Mwanzo wakati naisoma hii habari niliona ina mantiki kumbe Pumba Tupu.... aya mkuu endelea kuandika Pumba zako
 
Jamani tunatoa paper towel au toilet paper bure .Kwani tumefanya recycling na kutengeneza hizo bidhaa kutokana na kadi za CCM.kwa hiyo bado tunaitaji hizo kadi za ccm kwa wingi sana hapa kwenye kiwanda chetu. environmental inc company.
E-mail ondoafisadi@gmail.com
 
hivi huyo gamba nape hajui kuwa ccm wametoboa kidumu cha babu(jk nyerere),ndo maana kimeshindwa kuchota maendeleo serikalini na kuyapeleka kwa umma?mwambieni achunguze matatizo na aache kuzungumza yasotija.peoplllllllles powerrrrrr2015 at palace
 
Jamani kuwa nakadi si tatizo je kadi hiyo ni hai na yy mwenyewe ana semaje ku husu yasemwayo kuhusu yy.
 
Jamani kuwa nakadi si tatizo je kadi hiyo ni hai na yy mwenyewe ana semaje ku husu yasemwayo muhusu yy.
 
hakuna uzushi hata ukikasirika lakini kaa ukijua dr slaa bado anayo kadi ya ccm.

rafiki nafikiri katika hili umekurupuka kwani kuwa na kadi ya chama pinzani siyo kosa, kosa n kuwa mwanachama wa vyama zadi ya kimoja na dr. Amekiri kuwa na kadi siyo kuwa mwanachama wa magamba!

Pia ritz kumbuka kwamba dr ndiye anayekusanya kadi zote za wajanja waliobumburuka toka usingizini ccm na kwingineko ccm b n.k ivi ulitakaatunze za wengine na yake amtunzie nani? Tumia akili kidogo.
 
Kuna watu wakisikia neno CCM tuu wanasikia kichefu chefu sembuse kutunza kadi
 
Nape ni kijana ambaye mara nyingi kama siyo zote huwa mropokaji na hana khoja ya tija ni mtazamo ambao ni sahihi kabisa.

Nape alipodai viongozi wengi wa cdm wana kadi za ccm na huzilipia michango ya kila mwaka kimyakimya ungelitegemea cdm aidha kumpuuzilia mbali au kumpa mojawapo ya majibu yafuatayo:-

a) ccm wamekuwa mstari wa mbele kupokea kadi za wanachama wa upinzani ambao wameamua kujiunga na ccm badala ya kuzirudisha kwenye vyama husika kama kadi tajwa zinavyoweka bayana juu umiliki wa kadi husika. Kwa hiyo ccm kutarajia viongozi wa cdm kuzirudisha kadi za ccm kwa ccm ni unafiki. ccm ionyeshe njia kwa kurudisha kadi zote tajwa za vyama vya upinzani walizokabidhiwa khalafu ndiyo ije na maswali ya kuulizia kadi zao zilizoko upinzani.

b) Kama Nape anao ushahidi wa hilo angeliripoti kwa msajili wa vyama vya siasa kwa sababu ni makosa ya jinai kuwa mwanachama wa chama cha siasa zaidi ya kimoja.

c) Nape atoe ushahidi kwa tuhuma zake juu ya malipo ya michango husika kabla hajajibiwa.

Kwa kuchelea kutoa majibu tajwa na kukiri ana kadi ya ccm na kuwa anaienzi kikamilifu, Dr. Slaa kaingizwa "kingi" na Mpayukaji Nape kwenye nyanja zifuatazo:-

i) Je Dr. Slaa anaweza kuienzi kadi ya ccm kwa kuwa mwanachama mfu au kwa kuwa mwanachama hai kwa maana ya kulipia michango husika kila mwaka?

ii) Je kwa kuienzi kadi ya ccm ambayo ni mali ya ccm huku kila nafasi ikijitokeza Dr. Slaa hupokea kadi za ccm kutoka kwa wanachama wapya wa cdm ambao wanatoka ccm haoni yeye ni mnafiki? Dr. Slaa kadi yake kumbe kaibana lakini za ccm anapokea badala ya kuwaasa nao wazienzi au hata basi kubaini masilahi ya muda mrefu aliyonayo juu ya kadi husika........... badala ya kuzipokea kadi za ccm huku yeye binafsi ana masilahi mazito ya kuienzi kadi tajwa tena kimya kimya.

iii) Kwa kukiri kadi anayo na kuwa anaienzi anaonyesha jinsi ambavyo alivyo ndumila kuwili na kutia mashaka makubwa kama yeye siyo askari mamluki ndani ya cdm ambayo ccm humtumia kuidhoofisha badala ya kuimarisha. Mfano hai ni pale ambapo alidai ana ushahidi JK kaiba kura zake na hakupaswa kutangazwa Raisi lakini hadi leo kabana kimya na huo ushahidi (Kama kweli upo au kauli ya asiyekubali kushindwa) kama siyo kula sahani moja na mahasimu wake kisiasa ni nini?

iv) Kitendo cha kuwa na kadi ya chama ambacho Dr. Slaa siyo mwanachama kinakiuka masharti yote ya kadi hiyo sasa kama haheshimu masharti husika hivi sheria zetu kweli angelizithamini kama angelishinda uraisi?

v) Upeo wa Dr. Slaa nao unatia mashaka sana kama mitazamo hii haikumpitia kichwani kwake kabla hajatoa majibu husika na kutathmini athari zake.

Kweli upinzani tz ni kulitumika tumbo; kama ilivyo ccm, na ndiyo maana Dr. Slaa kabla hajakubali kugombea uraisi alihakikisha cdm inaingia mkataba naye kumlipa sawa na mbunge nafasi ambayo hatakuwa nayo kwa miaka mitano (2010-15) na hivyo kuleta upendeleo usiyo wa lazima ndani ya waajiriwa ndani ya cdm....Kumbuka "Some animals are equal but others are more equal than others"............Orwellian principle
Kwani kama bado ana kadi ya ccm lakini anawalipua kila siku sisi inatuhusu nini? Na kama ni mwanachama wenu nyinyi CCM na huku mmemtuma sasa mbona mnatuambia tena? Nadhani CCM mnakoelekea sio kuzuri! Watanzania wa leo wanataka MABADILIKO SIO BLABLA na PROPAGANDA ZA MWAKA 47! You cannot convince any reasonable Tanzanian by this cheap comedy! SLAA AWE CCM AU CUF POTELEA MBALI SISI BADO TUNAMPENDA , ADUI YETU NI CCM TU! ADUI WA CCM SIO CHADEMA WALA SLAA, NI WATANZANIA AMBAO WANAMAISHA MAGUMU WAKATI NYINYI CCM KAZI YENU KUUZA SURA! HATA AKIONDOKA SLAA BADO HAMWEZI UA ROHO YA KUHITAJI MABADILIKO! KAMA AHADI MLIYOTUAMBIA YA KUIUA CHADEMA NDIO MNATUMIA STAILI HII, POLENI SANA HAFI MTU! AWE NA KADI , ASIWE NAYO IS NOT A BIG DEAL. BIG DEAL NI KUIONDOA CCM!CHAMA KILICHOKOSA HOJA ZA KUWASHAWISHI WATANZANIA, WAMEBAKI KUTAFUTA POPULARITY MISIBANI NA VIJIWENI!
 
Back
Top Bottom