Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

Nape ni kijana ambaye mara nyingi kama siyo zote huwa mropokaji na hana khoja ya tija ni mtazamo ambao ni sahihi kabisa.

Nape alipodai viongozi wengi wa cdm wana kadi za ccm na huzilipia michango ya kila mwaka kimyakimya ungelitegemea cdm aidha kumpuuzilia mbali au kumpa mojawapo ya majibu yafuatayo:-

a) ccm wamekuwa mstari wa mbele kupokea kadi za wanachama wa upinzani ambao wameamua kujiunga na ccm badala ya kuzirudisha kwenye vyama husika kama kadi tajwa zinavyoweka bayana juu umiliki wa kadi husika. Kwa hiyo ccm kutarajia viongozi wa cdm kuzirudisha kadi za ccm kwa ccm ni unafiki. ccm ionyeshe njia kwa kurudisha kadi zote tajwa za vyama vya upinzani walizokabidhiwa khalafu ndiyo ije na maswali ya kuulizia kadi zao zilizoko upinzani.

b) Kama Nape anao ushahidi wa hilo angeliripoti kwa msajili wa vyama vya siasa kwa sababu ni makosa ya jinai kuwa mwanachama wa chama cha siasa zaidi ya kimoja.

c) Nape atoe ushahidi kwa tuhuma zake juu ya malipo ya michango husika kabla hajajibiwa.

Kwa kuchelea kutoa majibu tajwa na kukiri ana kadi ya ccm na kuwa anaienzi kikamilifu, Dr. Slaa kaingizwa "kingi" na Mpayukaji Nape kwenye nyanja zifuatazo:-

i) Je Dr. Slaa anaweza kuienzi kadi ya ccm kwa kuwa mwanachama mfu au kwa kuwa mwanachama hai kwa maana ya kulipia michango husika kila mwaka?

ii) Je kwa kuienzi kadi ya ccm ambayo ni mali ya ccm huku kila nafasi ikijitokeza Dr. Slaa hupokea kadi za ccm kutoka kwa wanachama wapya wa cdm ambao wanatoka ccm haoni yeye ni mnafiki? Dr. Slaa kadi yake kumbe kaibana lakini za ccm anapokea badala ya kuwaasa nao wazienzi au hata basi kubaini masilahi ya muda mrefu aliyonayo juu ya kadi husika........... badala ya kuzipokea kadi za ccm huku yeye binafsi ana masilahi mazito ya kuienzi kadi tajwa tena kimya kimya.

iii) Kwa kukiri kadi anayo na kuwa anaienzi anaonyesha jinsi ambavyo alivyo ndumila kuwili na kutia mashaka makubwa kama yeye siyo askari mamluki ndani ya cdm ambayo ccm humtumia kuidhoofisha badala ya kuimarisha. Mfano hai ni pale ambapo alidai ana ushahidi JK kaiba kura zake na hakupaswa kutangazwa Raisi lakini hadi leo kabana kimya na huo ushahidi (Kama kweli upo au kauli ya asiyekubali kushindwa) kama siyo kula sahani moja na mahasimu wake kisiasa ni nini?

iv) Kitendo cha kuwa na kadi ya chama ambacho Dr. Slaa siyo mwanachama kinakiuka masharti yote ya kadi hiyo sasa kama haheshimu masharti husika hivi sheria zetu kweli angelizithamini kama angelishinda uraisi?

v) Upeo wa Dr. Slaa nao unatia mashaka sana kama mitazamo hii haikumpitia kichwani kwake kabla hajatoa majibu husika na kutathmini athari zake.

Kweli upinzani tz ni kulitumika tumbo; kama ilivyo ccm, na ndiyo maana Dr. Slaa kabla hajakubali kugombea uraisi alihakikisha cdm inaingia mkataba naye kumlipa sawa na mbunge nafasi ambayo hatakuwa nayo kwa miaka mitano (2010-15) na hivyo kuleta upendeleo usiyo wa lazima ndani ya waajiriwa ndani ya cdm....Kumbuka "Some animals are equal but others are more equal than others"............Orwellian principle
:target:Another nonesense! kwa hiyo wewe na mfyatukaji Nape mnafikiri hiyo n credit? ndo maana Dr wa ukweli kawambia kuwa anayo na anaienzi na naamini c wewe wala Nape aliyemwelewa Dr. na ndiyo maama bila aibu umejifaragua kuleta janvin uozo huu.

kwa taarifa yako mtu anapohama chama kimoja kwena kingine harudishi kadi kule anakotoka bali anaikabidhi kule anakokwenda. hivyo kwa kuwa Dr Slaa ndie katibu wa chama na ndiye mtunza kumbukumbu wa chama anatunza kadi yake na pia anatunza kadi zote za ccm zilizokabidhiwa kwake zilizotoka kwa wale wote ambao walikuwa wana ccm na sasa wapo cdm. na ndo maana hata kadi za waliookuwa wana cdm na sasa wapo ccm hazikurudi cdm bali zilikabidhwa kwa uongozi wa ccm.

Sasa nikuingize shule kidogo, kadi huwa azirudishwi unakotoka bali unakokwenda ili kutunza kumbukumbu ya watu uliowavuna toka kwa mpinzani wako. KARAGABAHO!
 
Nape ni kijana ambaye mara nyingi kama siyo zote huwa mropokaji na hana khoja ya tija ni mtazamo ambao ni sahihi kabisa.

Nape alipodai viongozi wengi wa cdm wana kadi za ccm na huzilipia michango ya kila mwaka kimyakimya ungelitegemea cdm aidha kumpuuzilia mbali au kumpa mojawapo ya majibu yafuatayo:-

a) ccm wamekuwa mstari wa mbele kupokea kadi za wanachama wa upinzani ambao wameamua kujiunga na ccm badala ya kuzirudisha kwenye vyama husika kama kadi tajwa zinavyoweka bayana juu umiliki wa kadi husika. Kwa hiyo ccm kutarajia viongozi wa cdm kuzirudisha kadi za ccm kwa ccm ni unafiki. ccm ionyeshe njia kwa kurudisha kadi zote tajwa za vyama vya upinzani walizokabidhiwa khalafu ndiyo ije na maswali ya kuulizia kadi zao zilizoko upinzani.

b) Kama Nape anao ushahidi wa hilo angeliripoti kwa msajili wa vyama vya siasa kwa sababu ni makosa ya jinai kuwa mwanachama wa chama cha siasa zaidi ya kimoja.

c) Nape atoe ushahidi kwa tuhuma zake juu ya malipo ya michango husika kabla hajajibiwa.

Kwa kuchelea kutoa majibu tajwa na kukiri ana kadi ya ccm na kuwa anaienzi kikamilifu, Dr. Slaa kaingizwa "kingi" na Mpayukaji Nape kwenye nyanja zifuatazo:-

i) Je Dr. Slaa anaweza kuienzi kadi ya ccm kwa kuwa mwanachama mfu au kwa kuwa mwanachama hai kwa maana ya kulipia michango husika kila mwaka?

ii) Je kwa kuienzi kadi ya ccm ambayo ni mali ya ccm huku kila nafasi ikijitokeza Dr. Slaa hupokea kadi za ccm kutoka kwa wanachama wapya wa cdm ambao wanatoka ccm haoni yeye ni mnafiki? Dr. Slaa kadi yake kumbe kaibana lakini za ccm anapokea badala ya kuwaasa nao wazienzi au hata basi kubaini masilahi ya muda mrefu aliyonayo juu ya kadi husika........... badala ya kuzipokea kadi za ccm huku yeye binafsi ana masilahi mazito ya kuienzi kadi tajwa tena kimya kimya.

iii) Kwa kukiri kadi anayo na kuwa anaienzi anaonyesha jinsi ambavyo alivyo ndumila kuwili na kutia mashaka makubwa kama yeye siyo askari mamluki ndani ya cdm ambayo ccm humtumia kuidhoofisha badala ya kuimarisha. Mfano hai ni pale ambapo alidai ana ushahidi JK kaiba kura zake na hakupaswa kutangazwa Raisi lakini hadi leo kabana kimya na huo ushahidi (Kama kweli upo au kauli ya asiyekubali kushindwa) kama siyo kula sahani moja na mahasimu wake kisiasa ni nini?

iv) Kitendo cha kuwa na kadi ya chama ambacho Dr. Slaa siyo mwanachama kinakiuka masharti yote ya kadi hiyo sasa kama haheshimu masharti husika hivi sheria zetu kweli angelizithamini kama angelishinda uraisi?

v) Upeo wa Dr. Slaa nao unatia mashaka sana kama mitazamo hii haikumpitia kichwani kwake kabla hajatoa majibu husika na kutathmini athari zake.

Kweli upinzani tz ni kulitumika tumbo; kama ilivyo ccm, na ndiyo maana Dr. Slaa kabla hajakubali kugombea uraisi alihakikisha cdm inaingia mkataba naye kumlipa sawa na mbunge nafasi ambayo hatakuwa nayo kwa miaka mitano (2010-15) na hivyo kuleta upendeleo usiyo wa lazima ndani ya waajiriwa ndani ya cdm....Kumbuka "Some animals are equal but others are more equal than others"............Orwellian principle

kama kuna kipengele kwa katiba ya CCM kinasema ukiacha uananchama urudishe kadi basi nape anaweza kwenda kuichukua hiyo kadi kwa daktari kama hakuna kitu kama hicho basi nape anapiga mayowe. CCM haina tatizo, tatizo ni CCM kuwa na viongozi legelege ambao wamefanya nchi kuyumba. naona umepatwa na wivu wa kike kusikia dr yuko na kadi ya ccm, povu linakutoka angalia utazima kwa presha, its just a useless piece of paper in the backyard, just to reminisce that CCM was good back in the old days baby.
 
Dr Slaa sasa kadi ya CCM unakaa nayo ya nini wakati wewe upo Chadema. Mbona wale wanarudisha kadi kwenye mikutano yako uambii wakae nazo kama kumbukumbu.
Yeye ndiye anayehifadhi mikadi yote (including yake) iliyorudishwa na wanachama waliochoshwa na sera za ufisadi na sera za vyama vingine na walioamua kurudi kundin, so hata yake ni miongoni mwa kadi hizo.
 
Dr Slaa warudishie CCM kadi yao.

Unalala na Dr. Slaa unaamka na Dr. Slaa . Ukila Dr. Slaa Ukinywa Dr. Slaa. Ukienda Chooni Kunya na ka sumu kako Inamuwaza Dr. Slaa. Hata Mke wako ananilalamikia kwamba Usiku huwa unaota Mzimu Dr. Slaa eti umetaifisha mali mlizohujumu basi ukiamka asbh umechoka unawahi Lumumba. Sasa umefika Lumumba kabla hata ya Chai tayari ushamtaja Dr. Slaa. Nimecount kwa jana peke yake ulimtaja Dr. Slaa mara 82. Naona leo umejipanga Kuvunja rekodi
 
Nafikiri huwezi kuwa mwanachama wa vyama viwili.

Dr ameliweka wazi kuwa ni kumbukumbu kwake.
 
kwani kuna ubaya gani. ? na s dhani kua n mwanachama pengine anaeka kumbukumbu sio,,:glasses-nerdy:bwanaee !
 
kuliko kubweka tu unatakiwa kujua walau katiba ya chama chako kwanza kabla hujaropoka kama huyo kilaza mwenzako Nape katiba ya ccm ibara ya kumi sehemu ya 1 kuhusu sifa za mwanachama inasema mtu akichukua kadi ya chama kingine amejifuta uanachama sasa wewe na NEPI mnaporopoka ina maana hamsomi katiba yenu au dr slaa kipengere hicho cha katiba hakimhusu epuka kuonesha upumbavu wako mbele ya umma.

Hapo umemaliza mkuu.. tatizo la WANA MAGAMBA ni kuwa maneno yakizidi uongo huchukua nafasi ndo kinamkuta NEPI
 
Unalala na Dr. Slaa unaamka na Dr. Slaa . Ukila Dr. Slaa Ukinywa Dr. Slaa. Ukienda Chooni Kunya na ka sumu kako Inamuwaza Dr. Slaa. Hata Mke wako ananilalamikia kwamba Usiku huwa unaota Mzimu Dr. Slaa eti umetaifisha mali mlizohujumu basi ukiamka asbh umechoka unawahi Lumumba. Sasa umefika Lumumba kabla hata ya Chai tayari ushamtaja Dr. Slaa. Nimecount kwa jana peke yake ulimtaja Dr. Slaa mara 82. Naona leo umejipanga Kuvunja rekodi

Kumbe nakushuhulisha sana mpaka unatia huruma aisee! Kila ukiona post ya Ritz, ....yanagonga boxer ha haa haaa na bado endelea kunifuatilia usichoke.
 
Last edited by a moderator:
Yani mimi sioni hoja hapa. Sasa kama Dr. Slaa ndo anapokea kadi za CCM na kuziweka au kuzichoma mnataka yeye akamkabidhi nani? Ndio ameshajivua gamba na kwa vile yeye ni mmoja wa wale wanaopokea kadi za wanachama wanaozirudisha, then logic inaonyesha kwamba amepokea kadi yake mwenyeweeeeeee,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
jamani mnapotaka kupost tread kaeni chini kidogo mtafakari cha kuandika Tanzania hatuhitaji kadi tunataka majibu ya matatizo yetu narudia Kuwa na kadi ya CCM si dhambi kubwa kama EPA,RICHMOND,swiss money ,Rushwa, Tunataka mtueleze nchi hii mnaipeleka wapi haya sasa tujibuni kwanini watoto wetu wa darasa la saba wamefeli vibaya hivi unakuja na kadi ya ccm majibu ya msingi hamtoi mnaleta mzaha. unaandka trerad kama umetumwa hujapanga maelezo kisha unatoa hitimisho nani ndumila kuwili hapo Dr au wewe. acheni propaganda tupeni majibu ya matatizo yetu.
 
Back
Top Bottom