Hatimaye Boss kaoa

Pole Mamii,wako anakuja usiache kazi wala nini Piga mzigo pendeza kuliko zamani kuwa happy,Mim ni mwanaume lakini nakupa code.
 
Itakuwa wewe sio wife material.
Ila kwa mwandiko wako unaonekana ni mkorofi sana, halafu una roho mbaya hivi, halafu kama una kiburi cha uzuri lazima utakuwa binti mzuri mwenye rangi nyeupe/tako kubwa. Wanawake wazuri wana kiburi pro max. Halafu wakiachwa ,kisha mwanaume akachukua mwanamke mwengine mwenye uzuri wa kawaida au mwanamke mbovubovu, lazima aumie mno.

Hautaachwa na bosi yaani hapo utabakia kuwa mchepuko rasmi wa Boss 🤣. Ngoja upepo upoe tu.
 
1. Tuliowapenda sana, hawajawahi kutupenda.

2. Tusiowapenda, wanatupenda hadi wanaumwa.

3. Unaona huyo mwanamke umemzidi uzuri na urembo?

Kuoa au kuolewa kuna siri kubwa izidiyo muonekano wa nje.

4. Kuna watu sura zao za kawaida sana lkn ndani mwao wana uzuri usio kifani
 
MWANAMKE MZURI HAJAWAHI KUACHWA.

KUNA MADHAIFU AMBAYO MWANADAMU ANAYO NA HAJITAMBUI.

YEYE HUBAKI KWENYE UZURI WA SURA KUMBE UPANDE MWINGINE HAFAI KITU
 
Kwa hali hii ndio maana jamaa alifanya maamuzi magumu kwenda kuoa mwanamke mwingine.

Kifupi tu unaonesha ni mwanamke mwenye majivuno,mdomo mwingi,roho mbaya ..... Jamaa kakupima kaona hufai kuwa mke.

Anyways baada ya honeymoon kuisha atakutafuta umpe kipochi manyoya akizagamue....na utampa tu maana huna ujanja wa kumnyima boss wako
 
wewe ulimkubalia ili upate kazi ulitegemea nini nafikiri hio ndio ilikuwa clue kwenye kichwa chake anyway ndivyo maisha yalivyo usidate na mtu mlioko nae office moja
 
Kwa statement hii! Huyo mwanaume utamrejesha mikononi baada ya mwezi mmoja tu. Nawajuwa wanawake kama wewe. Akiamua anakubadili mwanaume. Kufunga ndoa si warrant ya kumtoka mmwanamke aliyekamia, hasa kama hakukuwa na kosa la maana la kuwatenganisha kama uzinzi.
 
Aiseee, this is the part where i don’t understand women, anyways, sio kwa ubaya ila boss alikuambia ukweli from the beggining, wewe ndio uliwish kusex nae, your wish came true sasa unalalamika tena ? How comes ?
 
hamna maombi ya namna hii yanajibiwa, pole sana
 

Nafikiri hii ndo sababu haukuolewa..... wanaume hatupendi wanawake wenye maneno mengi” sasa kwa jinsi ninavyosoma uwandishi wako bado una safari ndefu sana rafiki
 
Wait until miaka 5 ipite Ndio utajua hujui
Mapenzi huisha dear yanabaki mazoea unaanza Sasa kunengeneka kwenda kidimbwi kutafuta wengine
Ndiyo huyu

 
Sure...alitusimulia mwenyewe kwenye Uzi wake mwingine,alivyojitupa Kwa boss

Ndio zenu izo ili mtule Alaf mnajufanya kuoa wengine
Mwaka huu tutakomesha vitendo hivyo
You can’t get away with everything
MAJUTO NI LAZIMA
So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I won’t ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.

Strong and Fearless unakumbuka haya maneno?
ahahahhaahhahahha
 

ALIKWAMBIA LAKINI!
 
Tulikuambia anakuchezea ukasema michezo ni afya leo unakuja kulalamika huku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…