Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Yako imehorojeka haina ladha. Endelea kuikanda labda itapata mteja.Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Hyo mikonk minene. Ndio alicho penda huyu Bo's wakoHatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Matatizo ya kujitafutia halafu unampa laana mwanamke mwenzio kakukosea Nini?Ww endelea kujiona mjanja ili upate kusifiwa humu
Endelea kucheka matatizo ya watu na kujiona ww uneyawezea maisha
Hyo ni Moja ya kitu dada zetu wanashindwa kuelewa, hatuoi wanawake wanaovutia kupita nao kwenye red carpetWatu wanaoa wanawake wanaojitambua sio wanaoringia sura na makalio wakati kichwani hamna kitu
Aisee!Sawa kwani kuolewa Ndio ticket ya kuingia mbinguni eh
Duh pole sana, navuta picha jinsi papuchi yako ilivyotumika na umeambulia zero, wallah nakuonea huruma.Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Sema kua kama guest inakunyima vingi, ukilogin unaona pm 5 afu huwezi fungua 😂😂ningekua na uwezo wa kuwasiliana nao ningewaomba waniachieNawa omba waku ongeze, maana tuli pata amani😂😀
The first day nimeanza kazi I knew he was the right guy for me, he is smart, intelligent, wise and successful. Yaani I couldn’t help myself nikamwambia ukweli kuwa am in love with you boss. He smiled and akanambia that will never work out, I was really hurt.
But cha kushangaza tangu nimemwambia amezidisha kuwa caring and treating me like a queen, so nikaelewa huyu he likes me too ila anaogopa mazingira ya kazi. He hugs me, touches me and kisses me but hataki relationship.
So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I won’t ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.
Yaani I wish one day ni have sex nae.
Naombeni ushauri niachane nae nimpotezee au niendelee hivyo hivyo?
Sio ata wabaya ni weusi ,mwanaume mjanja na mwenye hesabu za mbali mwanamke mweusi anafaa kuwa mke bora sana ,hawa weupe kuna namna tu wanavyojiona hautafika mbali.Wabaya ndo tunaolewa cute