balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,153
Huku na wewe ukiendelea kugongwa n wahuniYy Ndio kanipotezea kwa kunigeuka na kuoa mtu mwingine Basi malipo ni hapa hapa duniani na uyo mke wake wahuni watamgonga tu na yy atashuhudia live
Watu wanaoa thamani, huyo huyo unayemdiscribe shit ndio amepata kibali kwa boss. Refer Ester vs malikia vashti.huyo mwanamke mwenyewe mtu mzima kakomaa ana mikono minene hata sijui why did he choose her over me
HakikaNa haya ndio moja ya maajabu ya Mungu.
Kuwa mvumilivu muda utafika wanguYess
Unaweza kuingia ukajuta ukatamani urudi kuwa single
Mungu atamlipa humo humo kwenye hiyo ndoa
Naona wame kusamehe ban, mwanetu🙄😆😆😂😂😂😂
Sema haya mambo mda mwngn.... unaweza date na wadada wazuri wenye figure kali na wapo vzr kichwani ila ipo siku unatulizwa na mdada wa kawaida sana
Ndiyo ukweliNdo kashaolewa sasa huyo !! na ukizingua huyo dada anakutwanga !! maana boss kashamwambia kuna kidada kazini kinamtaka kwa nguvu 🤣🤣
Wanaume wakifika level ya kuoa huwa wanatafuta mke atakayempa amani ya moyo !! hatukatai una tako , na sura nzuri na huenda ni fundi ila sasa wewe ni muelewa, unasikiliza ! au kiburi na majivuno ? ndoa ni zaidi ya uzuri
Ulijichezea we mwenyewe.
Mungu asaidie kuwa hukuwa na shobo na nyodo kwa co workers wengine kwa sababu ya penzi la Boss!!Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
We nae,bwana umtongoze mwenyewe Leo umtukane dada wa watu aliyetongozwa eti Malaya uko sawa huko kichwani kwako?
haha dua la kuku uwa halimpati mwewe.Cheka , furahia Ona kama masihara lakini I’m a Mungu yasikukute
Anyway matatizo huwa yanazungukaga
Ww jifanye kujiona mwerevu hapa duniani
Uzuri wetu sisi bhana,tunajua madhaifu ya mwanamke,Ila tunafanya maamuzi kimyakimya bila hata kumjulisha na ikiwezekana anabaki mchepuko tu,kuoa tunaoa wengine wenye madhaifu yanayovumilika.
haha dua la kuku uwa halimpati mwewe.
Usisahau tokea mwanzo ulianza kuleta story huku, unadhani tumesahau?? Mtu ashakwambia ana mtu wake, bado ukamng’ang’ania. Leo useme kakupotezea muda? Unaumwa wewe
Umevurugwa.Wewe Ndio utulize kijoleo lako unalowapa kila mwanamke anaepita mbele yako mmxxieeww