Hatimaye Boss kaoa

Hii post inathibitisha wewe sio mtu mwema, na hufai kuolewa.
 
Mleta mada njoo PM nikuwowe.
Uwe unakula pensheni + marupurupu ya kitaifa..))
 
Trust me huyo hakuwa wako kata mazoea yeyote na boss wako , kuwa busy na mambo yako jitathimini ujuwe ni mwanaume gani unataka? Ukisha jua hilo jiweke katika mazingira ya huyo mwanaume unae mtaka atakuja kwako mwenyewe.
Nb sio vizuri kumpenda boss wako
 
Ndiyo kwanza mwezi wa 2 dada. Hakika dada yangu ume uanza mwaka vibaya.
Umechunda Dada.
Ila unajua nini,kasafishe nyota....Tatizo Nyota.
NITAFUTE
 
huna X-factor na pia you are not '' the woman of substance''
jamaa nilimuuliza swali kwa nini kakuacha akanijib hivyo....na ni kweli mate hufai kuwa mke wake...
 
Labda ukaroge kenge wewe. Hakuna maombi MUNGU anayajibu ya kumuombea mwingine mabaya. MUNGU sio wewe. MUNGU anajibu kwa namna ya ajabu sana. Ukikazana kuombea wengine mabaya utapoteza muda tu. Ukisamehe na kusahau kabisa lakini,narudia lakini iwe umeumizwa kweli kwa Jambo mliloahidiana. Otherwise utapoteza tu muda
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sema haya mambo mda mwngn.... unaweza date na wadada wazuri wenye figure kali na wapo vzr kichwani ila ipo siku unatulizwa na mdada wa kawaida sana
Wadada wa kawaida silaha yao inakuwa mauno. Warembo silaha yao inakuwa uzuri. Sasa mwamba akikatikiwa akalia kiume anafanya maamuzi ya kushangaza.
 
Huyo kicheche hafai hata kWa kulumangia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ