Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hureeeee ila hapo lazma atahofia kutumikishwa kunako sita kwa sita
Labda uahidi kuwa malipo ya hizo pesa hayatakuwa adhabu kwenye mambo ya utamu utamu maana haka kajamaa kameshazeeka kasije kakakufia bureee Ladymayasa

Huku tuliko tunafahamu wazee mwisho chalinze, akiwa huku ni sweet, honey, baby, etc.
 
Kutoka vyanzo vya uhakika ni kwamba, huyu jamaa operesheni kimbunga aliwakumba wajomba

Aliwasindikiza kwao Rwanda,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom