Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Mara ya mwisho Bishanga alionekana mitaa ya Mfaranyaki akielekea Msumbuji baada ya kusikia kuwa kuna matumaini ya gesi so anaenda kutafuta kibarua cha kuchimbia mabomba ya gesi bahati mbaya hakuweza kuvuka daraja linalotenganisha Msumbuji na tanzania kwa kuwa alishindwa kutamka nchale
Hahahahaaaaa Mr Rocky hizi ni habari mpasuko kwangu lol
Ina maana huyu jamaa kaenda kule wanakokulaga panya?
 
Last edited by a moderator:
Akhuuu!!! Silagi pesa riba mie.
Hahahaaa YNNAH naamini hujala mwaya ila kuna mtu naamini kazila tena nyiiingi hadi kamfilisi...unamjua huyo ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa huyu jamaa haniwezi
Kama alishindwa kunizuia kuzaa na mkewe sembuse hii kashfa?
Kwanza kafulia mbayaaaa hapa nimemtumia buku tano ajiunge na bundle la week walau aje atusalimie tinna cute

Kuzaa na mkewe sio inshu unajuaje kama walipanga utoe hizo mbegu zako then upigwe chini???????
 
Last edited by a moderator:
Kuzaa na mkewe sio inshu unajuaje kama walipanga utoe hizo mbegu zako then upigwe chini???????
Mi namjua vema huyu jamaa...!
Kwanza nataka hata bundle nisimpe tena maana anaweza kuja na majigambo kumbe anatumia bundle la msaada
 
Hahahahaaaaa Mr Rocky hizi ni habari mpasuko kwangu lol
Ina maana huyu jamaa kaenda kule wanakokulaga panya?
Erickb52 ameenda huko bana sasa kapewa kula panya na kutamka nchale ikamshinda so wakamuona sio mwenzao sasa sijui kama kibarua atapata au ataishia kwenda kuvuna korosho
 
Last edited by a moderator:
Nakuamini sana shem wangu.....!
Huna tabia hizo hata kidogo na kaka yangu Judgment anakupa kila kituuuuuuu yaan kila kona yuko gado hahahaa

Nashukuru kwa kulitambua hilo shemu wangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom