Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,437
- 4,828
mke mwenza hivi tukizaliana kwenye familia moja kuna ubaya?
Sikuwa nimeliona bandiko la njano mke mwenza
Hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mke mwenza hivi tukizaliana kwenye familia moja kuna ubaya?
Sikuwa nimeliona bandiko la njano mke mwenza
Hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Makubwaa!!
Siku hizi nako kuna kugombea mume!!
aaah mwenzangu chako ni chako tu huoni ya akina ufoo??
mke mwenza tuzoee sie waarabu wa pemba
Vinginevyo ndoa yetu itapata mwana
mke mwenza tuzoee sie waarabu wa pemba
Baelezee baelewe darling!
Baelezee baelewe darling!
Naona unachekelea hadi jino la mwisho, vp umswati swati ulisha achana nao?
halafu wewe!!!
Siku nyingi sana mkuu, umswati tupa kule kwa Kaizer