Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hahahahaaaa
nimecheka kiukweli bby wangu....eti wala hanitaki dah umeipanch vizuri.

Mi penda wewe more....come back bby nakumiss sana...upweeeeke

Hehee

Takuja lovee

Very soon
 
eti hii ni sababu pia....
941546_503518996385902_138854912_n.jpg
 
na mimi nilitaka kuuliza kwani Bishanga kenda wapi sijamuona siku nyingi mana mara ya mwisho
kumsikia ni siku alompigia simu mr wangu kiwatengu kumkopa hela tukabaki tunaangaliana na kucheka tusijue yalomkuta lol kumbe kafulia
kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom