Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Majtrooooo!!
Hahahahahaaaaa...kama nakuona vilee
mke mwenza hivi tukizaliana kwenye familia moja kuna ubaya?
Majtrooooo!!
Hahahahahaaaaa...kama nakuona vilee
wallah Lady doctor utanikoma
Halafu sitaki mazoea na mke wangu
sikumtaka yeye nilitaka Verossa
Nikutake wewe au kifanyio?
Mi nataka kifanyio tu niongeze mtoto wa pili kabla Bishanga hajaja
Chocs nae kazubaa sana anaibia huku anaangalia
ana nauli ya kujia Arusha huyo wakati hata hela ya kiberiti hana na mtaji wake wa gongo wote kaonga kwa kiserengeti boy
na we endelea nitakuchukulia huyo mswati wako
akizubaa wenzie twala
ahahaaa utasubiri sana verossa relini
mke mwenza hivi tukizaliana kwenye familia moja kuna ubaya?