Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

na mimi nilitaka kuuliza kwani Bishanga kenda wapi sijamuona siku nyingi mana mara ya mwisho
kumsikia ni siku alompigia simu mr wangu kiwatengu kumkopa hela tukabaki tunaangaliana na kucheka tusijue yalomkuta lol kumbe kafulia
kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
Hahahahaaaa hilii ni lihabari mpasuko shem
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mbona kimya embu jitokeze huyu nyangema kimshuke
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi hana hata hela za kung'arisha viatu rangi,kahama mtaa haonekani kama digidigi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom