Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Eheeee kumbe na wewe umeona manyoya eeh?? kweli huyu jamaa ameliza wengi!
Hahahahaaaaa Mwanyasi angalia watakutoa ngeu hahahaaaa
Hawakawii kusema umewaabuse hahahaaaaa
Chezea Bishanga wewe lol

Ila thanks mbwembwe kwisha kabisa
 
Last edited by a moderator:
TAARIFA: Bishanga baada ya kushindwa kulipa madeni yake ya FINCA, alijiingiza kwenyd biznez ya pembe za ndovu, ameswekwa lupango!

BTW kina PAPII KOCHA na mshua wake si wanaachiwa leo?

Mwacheni naye asote kidogo SEGEREA!
 
Last edited by a moderator:
TAARIFA: Bishanga baada ya kushindwa kulipa madeni yake ya FINCA, alijiingiza kwenyd biznez ya pembe za ndovu, ameswekwa lupango!

BTW kina PAPII KOCHA na mshua wake si wanaachiwa leo?

Mwacheni naye asote kidogo SEGEREA!
Hahahaaa wanaexchange makazi na Babu Seya au?
Hahahaaa
Halafu umeona mkeo anavyommiss mume wa mtu hapo juu?
Sijui karogwa Lady doctor hata sielewi
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona Bishanga kufulia hadi kukosa pesa ya bundle...!
Alijifanya bepali la kihaya kujitwika JF Tanzanite Member kumbe pesa ni za mkewe The secretary , wamegombana mke kabana mfuko jamaa kwishney! No Bishanga mapesa tena dadadeeeeki!
Unapewa lift unataka kupiga na honi eboooo! Mjini hapa look very Bishanga

Najitolea kumpa bundle na kumburudisha mkewe wakati huu wa mpito ili walau nikae na mwanangu nilozaa na the secratary !


Copy kwa Chocs Arushaone Mr Rocky watu8 Mamndenyi snowhite Mzee kiwatengu shansarie Avemaria DEMBA Kaizer mwallu Tonykp Filipo sosoliso Paloma amu KakaKiiza Mentor TANMO measkron ladyfurahia Lady doctor Heaven on Earth marejesho sweetlady Arabela Mwanyasi KOKUTONA Dena Amsi stevoh Slave Evelyn Salt Smile Dark City mimi49 charminglady beibe nasty Judgement YNNAH SnowBall Husninyo Kongosho BAK 24hrs Passion Lady Ruttashobolwa Madame B Baba V Mtoto halali na hela @liverpoolfc tinna cute @king'asti

Mpe pole aisee huyo mtu maana muulize anahitaji kiasi gani cha mapeeeee maana mimi sina mahali pakuziweka fanya hivyo
 
Mpe pole aisee huyo mtu maana muulize anahitaji kiasi gani cha mapeeeee maana mimi sina mahali pakuziweka fanya hivyo
Hureeeee ila hapo lazma atahofia kutumikishwa kunako sita kwa sita
Labda uahidi kuwa malipo ya hizo pesa hayatakuwa adhabu kwenye mambo ya utamu utamu maana haka kajamaa kameshazeeka kasije kakakufia bureee Ladymayasa
 
Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho Bishanga alionekana mitaa ya Mfaranyaki akielekea Msumbuji baada ya kusikia kuwa kuna matumaini ya gesi so anaenda kutafuta kibarua cha kuchimbia mabomba ya gesi bahati mbaya hakuweza kuvuka daraja linalotenganisha Msumbuji na tanzania kwa kuwa alishindwa kutamka nchale
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom