Pamoja mkuu!Asante Kwa ushaur
🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁👍👍👍🤣🤣😁😁Kama unapenda uhuru wako kijana usikurupuke kuoa. Mimi baada ya wife kwenda na my son kula sikukuu nimepata uhuru ambao nimeupoteza zaidi ya miaka 5
😀😀😀😀Ndoa ni kuishi na mwenza wako na kutatua matatizo ya kwenye maisha yenu ya ndoa,
Matatizo ambayo kama msingeoana hayo matatizo yasingekuwepo.
Au sioo
😆😆😆😆😆Ndoa ni kuishi na mwenza wako na kutatua matatizo ya kwenye maisha yenu ya ndoa,
Matatizo ambayo kama msingeoana hayo matatizo yasingekuwepo.
Inabidi mmoja ajifanye hajielew alafu nimegundua hautakiw kuwa serious yan mtu hata akirudi saa 5 usiku tulia jifanye usingiz mzito mtasalimiana asubuhi 😀😀Yani ukitumia akili tu ndoa inaliwa na mchwa mapema , ili ndoa idumu mwanaume unapaswa kuwa goigoi tu
🤣🤣 Tatizo hapo ni kuletewa ma Ukimwi sasaInabidi mmoja ajifanye hajielew alafu nimegundua hautakiw kuwa serious yan mtu hata akirudi saa 5 usiku tulia jifanye usingiz mzito mtasalimiana asubuhi 😀😀
😀😀Sasa hata ukimuuliza kunafaida gan mtu mzima ana akili zake timamu kaamua kurudi nyumbni saa 5 alale tu🤣🤣 Tatizo hapo ni kuletewa ma Ukimwi sasa