Umeshanichanganya 😂Yani unatakiwa utumie akili kubwa kujua yanayohusu ndoa yako ila unatakiwa utumie akili kidogo
😂😂😂😂😂 Dah nimecheka aisee unakuta mtu anakuja kuomba ushauri ambao haupo kabisaNdoa ni kuishi na mwenza wako na kutatua matatizo ya kwenye maisha yenu ya ndoa,
Matatizo ambayo kama msingeoana hayo matatizo yasingekuwepo.
Nimefokewa sana nimeambiwa kinacho fuata ni kurudi nyumbani asubuh nimeoonywaa 😊😀😁Ilikuaje 😂
Kwa kifupi ninkwqmbq umemruhusi mkeo akaliwKama unapenda uhuru wako kijana usikurupuke kuoa. Mimi baada ya wife kwenda na my son kula sikukuu nimepata uhuru ambao nimeupoteza zaidi ya miaka 5
Ukifika wakati sahihi wa kuwa na ndoa kuwa nayo,sio kwa kua starehe haziishi basi ukaendekeza hapana,au umri umeenda bas uoe,ama fulani kaoa basi na wewe uoe,epuka shinikizo la kuoaKwahiyo unatuambia nini mkuu sisi ambao hatujaoa
Mnamdakia juu juu. Akija kuzinduka ameoa tena hlf afadhali ya jana🤣Kwahiyo jimbo lipo wazi sasa au?
Mimi siku hizi napenda mtu akichelewa kurudi maana chumbani naweka AC ya baridiiiii; akirudi anaizima😏😏Inabidi mmoja ajifanye hajielew alafu nimegundua hautakiw kuwa serious yan mtu hata akirudi saa 5 usiku tulia jifanye usingiz mzito mtasalimiana asubuhi 😀😀
We muache ajichanganye. HahahaMnamdakia juu juu. Akija kuzinduka ameoa tena hlf afadhali ya jana🤣
Si ndo hapo sasa achelew tuMimi siku hizi napenda mtu akichelewa kurudi maana chumbani naweka AC ya baridiiiii; akirudi anaizima😏😏
😀😀😀Haukusimangwa?Ilikuaje 😂
Shem akirud mjengoni utuapdate, hizi story haziishagi hapaNdoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu