min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,651
- 172,180
Hapo lazma nitauliza tu kwa maslai ya usalama wangu asee😀😀Sasa hata ukimuuliza kunafaida gan mtu mzima ana akili zake timamu kaamua kurudi nyumbni saa 5 alale tu
Hapo lazma nitauliza tu kwa maslai ya usalama wangu asee😀😀Sasa hata ukimuuliza kunafaida gan mtu mzima ana akili zake timamu kaamua kurudi nyumbni saa 5 alale tu
Mimi siulizi 😀😀Hapo lazma nitauliza tu kwa maslai ya usalama wangu asee
Utakufa vibaya wewe😅 ndio maana Mimi kuishi na mtu mwenye meno 32 nikishindwaMimi siulizi 😀😀
HahahahaMarriage is a friendship recognized by the Police.
Kataa Ndoa wameondoka na point 3 hapaNdoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
Hongera sana mkuu.Ndoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
Jana nimerud saa saba usiku😀😀Sasa hata ukimuuliza kunafaida gan mtu mzima ana akili zake timamu kaamua kurudi nyumbni saa 5 alale tu
Umeoa wewe?1. Vijana oeni acheni ujinga
2. Ili ndoa yako idumu, epuka kuweka mambo yako ya ndoa mitandaoni, mara kuwashirikisha mashost, rafiki, wachungaji na ndugu zako.
3. Ndoa ni muunganiko wa watu wawili (MKE NA MME) na si muunganiko wa umma
4. ndoa ni tamu kwa watu wawili wenye akili timamu wanaojitambua wanapoungana, lakini ni utumwa kama wakiwa wehu
5. ombea ndoa yako kwa imani yako kila iitwapo leo, ili ndoa yenu ifanyike baraka katika maisha yenu
6. epuka makundi ya laana yaliyoshindwa kuoa
7. epuka makundi ya wapiga nyeto (CHAPUTA)
8. Mwanaume muone mkeo kama kitu kipya kila itwaapo leo na mwanamke fanya hvo hvo.
9. kuna aina takribani nne za nanii, kuna kavu, majimaji, moto na baridi, ridhika na aina yoyote utakayokutana nayo.
10. ukipata changamoto mmalize nyie wawili tu ikishndkana tafuta wazazi pande zote yataisha (siyo ndugu)
11. TAFUTA PESA
HAPA NAONGEA NA WANANDOA NA WANAOTAKA KUOA, SIONGELEI HAWA WANAOSEMA NIPO KWENYE MAHUSIANO, NA SIONGEI NA MTOA MADA
Adigo kwetu mmisriZilongwa Mbali
Zitendwa Mbali
Choni Mnyangu, Usinene Ukamala 🤣🤣😁👍👍👍
Mwanaume unaanza vipi kutawalaliwa na mwanamke.Ila wanaume siku hizi tumekuwa walalamishi sana kwenye maswala ya ndoa kuliko wanawake. Huenda sie ndio tukawa na shida na sababu ya hizo ndoa kufa kufa.
Hisia zangu tu lakini. Zaweza kuwa sio sahihi pia
Zamani sana. Tangu nioe yamepita makumi na makumi ya miakaUmeoa wewe?
Wee unasemaje kuhusu ndoa????!!
Ilikuaje 😂Jana nimerud saa saba usiku
Yani unatakiwa utumie akili kubwa kujua yanayohusu ndoa yako ila unatakiwa utumie akili kidogoKwahiyo unatuambia nini mkuu sisi ambao hatujaoa