Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,559
- 32,157
Team Muhammad ni waunga mkono ndoa ..team Jesus ni wakataa ndoa. Muhammad alikuwa anaoa mpaka wahy unashuka šHapana mkuu sipo huko nilishavuka huo ujinga muda mrefu sana..
Team Muhammad ni waunga mkono ndoa ..team Jesus ni wakataa ndoa. Muhammad alikuwa anaoa mpaka wahy unashuka šHapana mkuu sipo huko nilishavuka huo ujinga muda mrefu sana..
Kubishana na mwanamke Malaya ni Jambo la kushangaza sana..
Hehehe ungejua hao malaya huwa hawafoki! Na ni waskivu hatarii, wanabembeleza balaa..
Kwanini nipingane na maisha ya mtu mzima mwenye akili zake?Demi nawe unakubaliana na hili?
Wacha weeKwani tangu lini saa tano usiku imekua usiku mzito,, kwa mawanume mtafutaji, kwa kazi zetu za kila siku na muda extra wa kupumzika na marafiki limit inabidi tu anagalau urudi nyumbani usilale nje .. urudi home kabla ya watu hawajaamka tu kwenda kwenye shuguli zao,, saa 9 saa kumi usiku sio mbaya.
Yaan jf bhana ukiingia humu huwez oaNdoa ni kwa wale wenye upungufu wa akili mwilini. Piga nyeto kwenda mbele.
Unasikiliza sana ushauri!Yaan jf bhana ukiingia humu huwez oa
Nilikuwa kwenye ndoa nikatoka,nataman tena kurudi
Lakin nmekuwa nakutana na nyuz za jf za kuponda ndoa nakata tamaa tena ya kurudi ndoani
Nasisitiza tena " Hasahasa kwa mtu mwenye akili timamu" ni ngumu sanaaaaNdoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
Aisee š¤Kama unapenda uhuru wako kijana usikurupuke kuoa. Mimi baada ya wife kwenda na my son kula sikukuu nimepata uhuru ambao nimeupoteza zaidi ya miaka 5
Nakazia hapa1. Vijana oeni acheni ujinga
2. Ili ndoa yako idumu, epuka kuweka mambo yako ya ndoa mitandaoni, mara kuwashirikisha mashost, rafiki, wachungaji na ndugu zako.
3. Ndoa ni muunganiko wa watu wawili (MKE NA MME) na si muunganiko wa umma
4. ndoa ni tamu kwa watu wawili wenye akili timamu wanaojitambua wanapoungana, lakini ni utumwa kama wakiwa wehu
5. ombea ndoa yako kwa imani yako kila iitwapo leo, ili ndoa yenu ifanyike baraka katika maisha yenu
6. epuka makundi ya laana yaliyoshindwa kuoa
7. epuka makundi ya wapiga nyeto (CHAPUTA)
8. Mwanaume muone mkeo kama kitu kipya kila itwaapo leo na mwanamke fanya hvo hvo.
9. kuna aina takribani nne za nanii, kuna kavu, majimaji, moto na baridi, ridhika na aina yoyote utakayokutana nayo.
10. ukipata changamoto mmalize nyie wawili tu ikishndkana tafuta wazazi pande zote yataisha (siyo ndugu)
11. TAFUTA PESA
HAPA NAONGEA NA WANANDOA NA WANAOTAKA KUOA, SIONGELEI HAWA WANAOSEMA NIPO KWENYE MAHUSIANO, NA SIONGEI NA MTOA MADA