figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Ule show ya jide ambayo itatawaliwa na anaconda style sasa kimeeleweka baada ya prof J na juma nature kuthibitisha kwamba watamuungamkono na kupiga nyimbo zao zote ambazo mashabiki wataomba wapigiwe. Vilevile tiketi zimeongezwa nyingine baada ya zile za kwanza kuisha. vilevile show itapigiwa pale parking baadala ya ndani ambapo pameonekana ni padogo kulingana na tiketi zilizo katwa. nakutakia mafanikio mema jide. mia
Watapigiaje nje wakati hicho kimgahawa kipo kwenye residential area?
Wewe nadhani sio riziki....doesn't matter wapi ipigwe what we need ni music....
Soon Nature atahamia
kwenye wapinga dhulma na unyonyaji,Nature anamshinda busara na upeo
MwnaFAtuma!!!
Wewe nadhani ni Bilal.
Wewe nadhani sio riziki....doesn't matter wapi ipigwe what we need ni music....
kwanini Nyani Ngabu linapokuja swala redio ya wafu huwa tayari kutoa macho watu au wewe ni kibonde..
Wewe ulitaka niwaponde?
kwanini Nyani Ngabu linapokuja swala redio ya wafu huwa tayari kutoa macho watu au wewe ni kibonde..